Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Nimesoma humu vema itoshe kusema Bakwata licha ya matatizo yao mengine kwenye hili huwa wapo sahihi. Wale Answar ni watukutu wanapaswa kudhibitiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe huo Uislam wenyewe huujuiNakazia wekeza kwenye imani yako,acha kupoteza muda kukosoa kwenye imani isiyokuhusu inaonyesha ni kiasi gani ulivyo dhaifu wa kiimani...."Pilipili usioila inakuwashia nini"
Huna tofauti na Mwamedi wa MeccaMshamba huyo
Hujui lolote....Huna tofauti na Mwamedi wa Mecca
samia anasemaje?Waliosoma dini na kujua ukweli hawewez kuendeshwa na bakwata taratibu waelewa wanaanza kuamka itafika kipindi watajikuta na wao wamerudi kundini allah awasamehe Kwa tamaa zao za kudanganya umma
Sawa sheikh, yote heri...Idd Mubarak!Hujui lolote....
Tuko pamoja....Sawa sheikh, yote heri...Idd Mubarak!
Mkuu hakuna mwenye matatizo humu hili suala lina uhuru tu kila mtu afanye kile anachokitaka, atakayefungua kwa mwezi wa kimataifa ni sawa hapana vibaya, na atakayefungua kwa mwezi wa kitaifa ni sawa pia hapana vibaya, wala hakuna haja ya kudhibitiana wala hakuna mamlaka ya kufanya hivyo.Nimesoma humu vema itoshe kusema Bakwata licha ya matatizo yao mengine kwenye hili huwa wapo sahihi. Wale Answar ni watukutu wanapaswa kudhibitiwa.
Majira ya saudia na Tanzania ni sawia?Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24.
Hizi dini ni za magumashi amkeni.
View attachment 2594651
Cc: Kiranga
Hatupishani hata Sekunde.Majira ya saudia na Tanzania ni sawia?
Kwa saa ni sahihi ila majira hutofautiana baadhi ya nyakati wao wanaswali swala ya asubuhi saa 9 usiku sisi tunaswali saa 11 asubuhi.Hatupishani hata Sekunde.
Kwa nini?Kwa saa ni sahihi ila majira hutofautiana baadhi ya nyakati wao wanaswali swala ya asubuhi saa 9 usiku sisi tunaswali saa 11 asubuhi.
Kwasababu mara nyingine machweo na mawio hutofautiana, ni kama kigoma na dar es salaam, watu hapo jijini wanafuturu saa 12 na dakika 24 kigoma wanafturu saa 1 kasoro au saa moja kamili na saa hazitofautiani.Kwa nini?
Lakini mwezi ukiandama Saudi Arabia ni sawa na Tanzania point iko hapo, Pili kama ni Uislamu Saudi Arabia ndio Nyumbani kwa uislamu.Kwasababu mara nyingine machweo na mawio hutofautiana, ni kama kigoma na dar es salaam, watu hapo jijini wanafuturu saa 12 na dakika 24 kigoma wanafturu saa 1 kasoro au saa moja kamili na saa hazitofautiani.
Ndio mwezi ni mmoja dunia nzima, ila nilikufahamisha mwanzo wa uzi kuwa kuna misimamo ya aina mbili, msimamo wa mwezi wa kimataifa na mwezi wa kitaifa na nikakupatia hukmu ya misimamo yote miwili sijui ulijaribu kuelewa?.Lakini mwezi ukiandama Saudi Arabia ni sawa na Tanzania point iko hapo, Pili kama ni Uislamu Saudi Arabia ndio Nyumbani kwa uislamu.
Sasa inakuwaje waliokea tu dini waenfe kinyume na wenye dini yao?
Wao wana mitambo kama aliyoomba mufti...mbona taarifa za mwezi kuandama huko zilitoka kitambo tu.....unajifanya umeleta kitu kipya?
Mkuu sisi ndio waislamu na tumekubali hizo tofauti za tarehe wewe unaumia nini?.Hii dini ni ya kimchongo mchongo. Inawezekana vipi nchi Moja kukawepo tarehe mbili tofauti? Leo Kuna watu kalenda inadoma tarehe Moja wengine tarehe mbili. Hii ni ya kienyeji kabisa hii dini