Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!. Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
😳😳😳
 
Pascal Mayalla,
Aliyekutamkia kuwa Mpango ni Mpango mzima hiyo ni upande wa Waberoya RC.

Vipi Deep state changuo lao ni nani?

Je Mastermind wa siasa za Tanzania Jk na Kundi lake wao changuo lao ni lipi kwamba huyu huyu aliepo au ni JM Junior?
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!. Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!. Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Mfupa wa Ukatoliki ni mfupa mgumu sana kwa Watanzania kuuvunja!
 
Tanzania hatufikirii dhehebu, kabila n.k. tunapochagua raisi na viongozi wengine wa kisiasa. Ndio maana tuna amani. Sitazungumzia uchama au janga la Uchaguzi Mkuu wa 2020!
 
Wabongo waoga sana kuongozwa na warundi(mpango mzima),(stone)wanyarwanda- bitekelo),

Mbona alikuepo mkapa wa malawi,Bashe,kinana wasomali

Wakuu sisi wote ni wabantu,mwenye nchi ni mzalamo tu

Tuache ukabila,kubaguana
 
Uzoefu unaonesha kuwa Kwa Bongo Makamu wa rais na waziri mkuu kuwa Rais ni ngumu!

Kuhusu Rais kuwa mkatoliki, iliwezekana kwa Mkapa kwa sababu ya Nyerere, na kwa Magufuli iliwezekana kwa sababu ya Mkapa, Bahati mbaya wamemalizana wenyewe hadi Membe!

Kwa sasa nguvu ya maamuzi haipo upande wao, muda utasema, Muda ni mwalimu!
Umeona mbali !!
 
Mhhh hii video inaumiza mnoooooooooooooooooooooooooo
Hapa nilimchukia sana Magu...
Kwa kweli hakumtendea haki, lakini ilibidi iwe maana kipindi kile haki ilikua mbaya mno, kulikua na mfululizo wa viongozi wengi kufariki na uvumi wa mkubwa wa mpango kua ni miongoni mwao,ilibidi atoke jinsi alivyo ili kupoozesha hali.
 
Pumba tupu. Wakatoliki wengi waabudu mashetani na ma sanamu. Huko waliookoka kweli kweli hamuwezi kuwaweka maana watafichua mauozo yenu chungu nzima. Ila Taifa likiwa na kiongozi mcha Mungu wa dhati, watu hufurahi.
Unamfahamu tafsri ya kuokoka ilitolewa mwaka gani?

Unamfahamu aliyetafsiri bibilia kwenda kiswahili

Soma bibilia kwa kiingereza neno wokovu halafu njoo ufafanue

Bwana ndie wokovu wangu ni muogope nani?

Sasa anayesema ameokoka ,ameokaka ana maanisha nini?
 
Uzoefu unaonesha kuwa Kwa Bongo Makamu wa rais na waziri mkuu kuwa Rais ni ngumu!

Kuhusu Rais kuwa mkatoliki, iliwezekana kwa Mkapa kwa sababu ya Nyerere, na kwa Magufuli iliwezekana kwa sababu ya Mkapa, Bahati mbaya wamemalizana wenyewe hadi Membe!

Kwa sasa nguvu ya maamuzi haipo upande wao, muda utasema, Muda ni mwalimu!
Inategemea mkataba aliokula KWA wale wenye kutoa mwanga KWA walimwengu!

Kama alikula kiapo cha hayo atakua tu hata KWA muda mfupi Ili kutimiza kiapo chake!

Madaraka sio juhudi binafsi bali ni viapo vya siri kwa wenye siri zao vifuani!!

Yote kheri!
 
Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.

Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.

Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.

Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.

Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!. Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.

Jumapili Njema
Paskali.
Ninachokumbuka ni kuwa Zzk alijibu kwa kukasilika sana .

Ilikuwa ni baada ya watanzania kuweka jamii ya bwana Mpango wakicheza na kuserebuka wimbo wao maarufu.

Ni mara tu baada ya Mipango kutangazwa kuwa rais msaidizi.

Sasa hapo tuchukue lipi haswaaa?
 
Back
Top Bottom