Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Tujiandae kubadili bdndera na wimbo wa taifa
 
Sipingi uyasemayo lakini kama ndivyo kwa nini wastaafu wote ni marehemu na hata kuoelekea aliyekuwa kitini???????
 
Wanabodi

Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!.

Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!.

Jumapili Njema
Paskali.
Mkuu Nyendo, thanks for this assurance, maana kumeisha anza vineno vineno mtandaoni kuhusu afya yake!.

Kitu ninacho sisitiza Watanzania we have the right to information kuambiwa ukweli wa hali za afya za viongozi wetu wakuu!, ili kama ni kuwaweka kwenye maombi tuwaweke, hii isije kuwa kama ile halafu... kama Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na yupo nje ya nchi kimajukumu, then tunamtakia majukumu mema!, na kwa vile VP pia ana press team yake, hakuna ubaya from time to time wakatupia tupia hata tupicha tuu twa VP akiwa kwenye hayo majukumu, unless kama majukumu yenyewe yanafanyikia inside the Pentagon, then ni ngumu kupata hata tupicha!.

Kazi iendelee
P
 
Labda ni area 51 ameenda na wataalamu wetu kama msimamizi wakale darasa fulani la kiusalaama
 
Kikeke nae alipgwa chini Kisa kutrend sana kabla ya kula kiapo mwisho wa siku Chali mpango nae mkipigia debe sana meza itapinduliwa aje apate mtu zali lake kama magu 2015
Kikeke yuko shallow sana kwenye mambo ya serikali kifupi sio admin yule ni entertainer asingeweza kupewa nafasi nyeti kiasi kile
Mpango huyu inawezekana kabisa ni turufu halisi ya JK maana ndie aliyemuibua na kumuandaa kama plan B
 
…. Majaliwa? Aliyetuambia …yupo anapiga kazi???? Baada ya hapo tarehe ikatengenezwa kuwa 17 March???? Yaani kiongozi mkuu wa nchi afe halafu tuambiwe yupo mzima????? Jamaa ana roho ngumu sana. Makamu sidhani, tarehe inatafutwa kama aliyepita
 
Mpango 2025-2035
 
Pascal Mayalla,
Aliyekutamkia kuwa Mpango ni Mpango mzima hiyo ni upande wa Waberoya RC.

Vipi Deep state changuo lao ni nani?

Je Mastermind wa siasa za Tanzania Jk na Kundi lake wao changuo lao ni lipi kwamba huyu huyu aliepo au ni JM Junior?
JK ndie godfather wa Mpango na ye ndie alimvuta kutoka huko kwenye bank ya Afrika kumleta kutumikia taifa nadhani alikuwa na lengo kubwa zaidi so mleta mada anaweza kuwa sahihi
 
Master P,ulipatia Sana kwa magufuli,nimejikuta nikiwa mfuasi wako na huwaga najitahd Sana kukuelewa na huwaga nasoma keenly and btn lines maandiko yako,barikiwa paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…