Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Labda mambo yakiharibiiikaa sana ndio ataweza kupokea white house huyo mwenye mipango sijui mpango tofauti na hapo huyu maza wataforce afike 2030 wakati huo huyo mpango anaweza asiwepo dunian au kuwa na afya isiyomruhusu kubeba majukumu mazito ya kitaifa, au umri kumtupa mkono, kiufupi atakuja kutokea yule msiyezania atatushangaza sana...

Naishia hapa
 
Kwani cathos ni tz pekee, mbona huko kwingine hamna kitu hcho?
Kwa sababu TZ ni kibaraka ama kolon la Hao UK ambao nao ni kibaraka wa huyo huyo Vatican ambao hawa wanazalisha maspy wao ama vibaraka wao ambao ni hao makadinari na baadhi yao ni hawa wanasiasa wa dini hizi mbili uislam na ukristo kwa dini ya ukristo wamebase kwa mkatoric maana ni rahisi kumcontroll kupitia sheria za kanisa, tofauti na hawa waprotestant na madhehebu yanayomtukana mkatolic.

Hatuna ujanja wa kuwakimbia hawa jamaa, labda tubadili mindset
 
B
Tusikariri sana au kuwa na mwenendo wa mazoea..mambo hubadilika....anaweza ibuka mtu wa dhehebu tofauti kabisa...ila mpango hajachangamka , uthubutu na ukali bado na Taifa linaweza kujaza wapiga dili sana na hatofanya lolote...
Ro Mpango anaweza kuwa mkali kwa vitendo kuliko Magu hujui tu.

Ndiye alithubutu kumkaba koo Makonda ule wizi wa kodi bandarini
 
Mpango siyo Mkatoliki.
 
Tusikariri sana au kuwa na mwenendo wa mazoea..mambo hubadilika....anaweza ibuka mtu wa dhehebu tofauti kabisa...ila mpango hajachangamka , uthubutu na ukali bado na Taifa linaweza kujaza wapiga dili sana na hatofanya lolote...
Humjui vema huyo jamaa.
Mpango ni mpole kwa muonekano lkn ana misimamo mikali mno. Akipata power utauona upande wake wa pili.
 
Kwani Mwinyimvua, Mirisho na Sululu wote ni Shia, Sunni, ama?
 
Mpango ni Muanglican
 
Pamoja Hawa wavaa baibui usoni na kobazi akili ziro wanauza mipaka ya nchi yetu

Umezidisha ,punguza basi
 
Hao marais wa Kikatoliki ndo waliofinyanga mifumo yote ya nchi hii. Anza kwa J.K.N, Mkapa mpaka John utanielewa.
 
Nguvu ya nyerere aliyowapa wakatoliki Tanzania hii ni ndogo? kwa lipi unafikiri wanataka wafanye nyerere mtakatifu?

Msome Sivalon utaelewa kama huelewi.

Wewe unaeandika siyo mkatoliki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…