Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

Exctly
 
Ankali kuna uzi humu ,mtu aligusia kuhusu mpango wa baadae na mpango, na mimi nilichangia kdg kuwa nitarudi

Juzi wakat wa Misa ya i Kardinali Protase Rugabwa ,misa ya shukrani , nikasikia hili kwa mbaaali sana
NAONA mpango DS ni Mpango awe mpango mzima!

SASA sijui mpango wa Mungu yeye anaona nani ndio mpango mzima coz isije tokea Mungu akawa ana mpango nae halafu akaibua mwingine akawa mpango mzima!!!
 
Kikeke nae alipgwa chini Kisa kutrend sana kabla ya kula kiapo mwisho wa siku Chali mpango nae mkipigia debe sana meza itapinduliwa aje apate mtu zali lake kama magu 2015
 
KUCHANGANYA DINI NA SIASA

Serikali inawasakama bure waislamu ya kuwa wanachanganya dini na siasa, wakati ushahidi kutoka katika kitabu cha Dr. Sivalon unadhihirisha wazi wazi kuwa tokea kuasisiwa kwa Jamhuri ya Tanganyika na kisha muungano wa Tanzania, kanisa katoliki kwa ushirikiano wa kichini chini na Serikali ya awamu ya kwanza chini ya uongozi wa Hayati Mwalimu Nyerere, limekuwa likikoroga hasa, dini na siasa na siyo kuchanganya tu

Aidha, na Serikali yenyewe imekuwa, siku zote, ikichanganya siasa na dini kwa kulipendelea zaidi kanisa katoliki na hata mara nyingine kuliachia liingilie maamuzi ya Serikali kama kitabu cha Dkt. Sivalon kinavyothibitisha hayo. Kitendo cha kanisa katoliki serikali na chama tawala kunyamazia kimya na kutokanusha maelezo aliyoyatoa Dr. Sivolon katika kitabu chake hicho ni sababu tosha inayoyafanya yale yalioelezwa humo yaonekane kuwa ni ya kweli. Kuhusu kitabu hicho AL-Hajj Abuod Jumbe anaeleza: "Upitizi wa makini wa kitabu cha Dr.John C.Sivalon kiitwacho KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA, 1953 HADI 1985, unatoa habari za ndani zisizo za kawaida juu ya kampeni dhidi ya uislam". Uk -127. Al-Hajj Jumbe anaendelea kusema, "... kwa maneno mengine, kitabu hicho, kwa kiasi fulani, ni kukiri kwa yeye mwenyewe mwandishi, juu ya shughuli za kanisa la katoliki haliwezi kutenganishwa na Vaticano, na ambalo ubalozi wake ni moja katika balozi kongwe nchini Tanzania. Kwa sababu zisizoeleweka kitabu hicho kimeandikwa na kuchapishwa na waumini wa kanisa hilo. Yaliomo ndani ya kitabu hicho hayajakanushwa na wala kubishiwa na serikari ya muungano au ya Tanganyika au na CCM, huu ukiwa ni ushahidi kamili juu ya ukweli wa kukiri juu ya neno hilo.

Kwa sababu na malengo yo yote ya kutolewa kitabu hicho,na lazima ziwepo sababu za msingi za kufanya hivyo kitabu hiki ni ufunuo mzuri juu ya mbinu za chini kwa chini za kanisa katika medani ya kisiasa Tanzania". UK. 128 Akizidi kufahamisha yale yaliomo ndani ya kitabu hicho cha Dr. Sivalon, AL- Hajj Jumbe anasema, "... kinaeleza kwa vipi kanisa katoliki lilijenga njia ambazo ziliwawezesha kuwa na mahusiano ambayo kitabu hicho kinaeleza yaliyokuwa ya karibu kabisa na TANU wakati wa miaka ya kupigania uhuru. Kinaonesha kuwa wameshika karibu nafasi zote muhimu katika serikali mpya ya kiafrika ya Tanganyika". UK.128 Akiendelea kuchambua yale yaliomo katika kitabu hicho, Al-Hajj Jumbe anaendelea kueleza, "Kinaeleza ni vipi serekali ya Jamuhuri ya muungano ilirithi mmfumo huo na kuupanua katika mamlaka ya Muungano, pia, katika mambo yahusuyo Tanganyika". UK.128 ALL-Hajj Jumbe anaendelea, "Kwa wale viongozi, wawe wa kanisa, CCM au serikali ya muungano, ambao walikuwa wakipigia kelele kutenganishwa kwa siasa na dini, wana kazi ngumu ya kuelezea kwa umma kwa ujumla lakini wao wenyewe wakiwa ndio waendelezaji wakubwa wa hilo, wana kazi ngumu ya kuelezea kwa umma kwa ujumla lakini zaidi kwa waislamu.

Sivalon anaelezea juu ya mpango na njama zinaendelea zikishirikisha kanisa katoliki, chama (TANU- CCM) na serikili ya muungano." Uk. 128-129. Mwisho, Al- Hajj Jumbe anasema, "Tangu njama hizo ziwekwe wazi 1992 hapakuwa na kauli moja ya kupinga au kutolea maelezo juu ya jambo hilo. Huku ni kukiri kwa dhahiri juu ya mipango na njama za kanisa zianazofanywa hali zikiwa zinaeleweka na mkono wa chama na serekali zake". UK 129
 
Hawa watu wa Pwani wapumzishwe kidogo.
1.Mzee ruksa Pwani
2:Mzee wa Utandawazi Pwani
3:Mzee wa maisha bora Pwani
4:Kazi iendelee walewale Visiwani/Pwani
Ni Mzee kifimbo tu na jiwe wawili tu ambao sio wa Pwani,hii nchi sio ya watu wa Pwani tuheshimiane kama wao tayari wapo wa nne ,wasubiri kanda zingine nao wapewe nafasi miongo miwili mfululizo.
 
Jewelry
 
Manabii na maplofet mmekuwa wengi... Ili ikitokea uje kujisifu ulitabiri?? Kuna plofet mwenzio alitabr filipo ataingia kwasababu kama za huyu alivyoingia.... Tujadili maendeleo sio watu ama dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…