Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli.

Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
 
Hii video inaniumiza sana😭😭😭 haya majitu ni makafiri na majambazi makubwa
 
Back
Top Bottom