Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.
Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya kuwa suluhisho/msaada.
Inakera sana kuona Watumishi wanahangaika kisa mfumo huku wahusika wenye dhamana na uendeshaji wa huo mfumo wakiwepo maofisini.
Sijui walichukua mfumo wenye ubora hafifu au ni wenyewe tu ndio wanafeli kwenye uendeshaji sipati majibu.