Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

Kama serikali imeshindwa kuendesha mfumo wa ESS , bora waufute au kuwe na mbadala in case mfumo unafeli

Ingia kwenye option ya e-mkopo uone kama itafunguka.

Tena bora saa unaweza ku-acces baadhi ya huduma kwani kuna wakati kila kitu kinagoma kwa maana huwezi hata ku-log in..

Kuna mdau amekwama tangu juzi na anahitaji hela za kuingiza kwenye biashara zake.
Kumbe unataka kukopa mwalimu ndomana hasira nyingi nyingi
 
Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.

Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya kuwa suluhisho/msaada.

Inakera sana kuona Watumishi wanahangaika kisa mfumo huku wahusika wenye dhamana na uendeshaji wa huo mfumo wakiwepo maofisini.

Sijui walichukua mfumo wenye ubora hafifu au ni wenyewe tu ndio wanafeli kwenye uendeshaji sipati majibu.
Kumbe ni siku ya pili tu? Mbona taarifa nyingine zinasema kuwa kuwa watumishi wa kada ya ualimu (au wanaotumia kalenda ya mwaka) toka mwezi wa kumi na mbili hawajawahi kutumia huo mfumo?

Pia watumishi wa idara ya ardhi nao wanadai karibu mwezi unakaribia kuisha mfumo unaowawezesha kutekeleza majukumu mbalimbali ikiwemo kuandaa hatimiliki haupo hewani? Kwamba kwa kipindi chote hiki wanaenda ofisi kufanya shughuli ambazo hazihitaji mfumo

Serikali inataka kwenda kidigitali lakini inaweka wajanja wajanja wasiokuwa na weledi kusimamia mifumo ndiomaana wanafeli
 
Kuna haja ya kufanya uchunguzi kuhusu uendeshaji wa huu mfumo kama kweli kuna dhamira ya dhati ya kutaka kujua tatizo ni nini hasa.
 
Back
Top Bottom