Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Nchi hii kila kitu shida.Ni mfumo wa hovyo na hauko realistic ...
Uko sahihi kabisa. Hii mifumo ni kero tu kila wakati inafeli na kukwamisha shughuli za watu.Bongo hakuna mfumo wenye ufanisi wa asilimia zaidi ya 60%
Tunawasemea wanaoteseka kwa kukosa baadhi ya huduma na inakuwa vigumu kuwasaidia.kumbe umeajiriwa na Serikali ya Samia
Uko sahihi, lakini wenyewe wanajua kinachoendelea kwa siku ya 3 mfululizo sasa.Hujaelezea specific changamoto unayo kutana nayo,
Mkuu,weka wazi na sisi tufahamu kuna nini? Maana mi pia ni mtumishi na ninatumia huo mfumo. Najua kuna wiki walitoa taarifa kuwa wanaufanyia maintainance na ulirudi tar 8Uko sahihi, lakini wenyewe wanajua kinachoendelea kwa siku ya 3 mfululizo sasa.
Ingia kwenye option ya e-mkopo uone kama itafunguka.Mkuu,weka wazi na sisi tufahamu kuna nini? Maana mi pia ni mtumishi na ninatumia huo mfumo. Najua kuna wiki walitoa taarifa kuwa wanaufanyia maintainance na ulirudi tar 8
View attachment 3543662
Yeah ni kweli,inaleta errorIngia kwenye option ya e-mkopo uone kama itafunguka.
Sio siku ya Pili, leo ni Wiki ya 3 hata kuangalia tu Salary Slip haiwezekani na kule MoF nako holaa.Huu mfumo japo umekuja na mazuri, lakini kwa sasa unageuka kero kwa Watumishi kwa baadhi ya huduma kutopatikana leo ikiwa ni siku ya 2 mfululizo.
Mimi nashauri waufute huu mfumo au kuwe na mbadala pale mfumo huu unapofeli kwani unakwamisha sana mambo ya watu na kwa sasa unageuka kero badala ya kuwa suluhisho/msaada.
Inakera sana kuona Watumishi wanahangaika kisa mfumo huku wahusika wenye dhamana na uendeshaji wa huo mfumo wakiwepo maofisini.
Sijui walichukua mfumo wenye ubora hafifu au ni wenyewe tu ndio wanafeli kwenye uendeshaji sipati majibu.
Ngozi nyeusi kila kitu kwetu ni shida.Sio siku ya Pili, leo ni Wiki ya 3 hata kuangalia tu Salary Slip haiwezekani na kule MoF nako holaa.
Kwakweli ni kama huu mfumo umewashinda kuumanage
Wanachoweza ni KUUA,KUTEKA na kuwa na misafara mirefu yenye magari binafsi ya kifahari..ni watu wa HOVYO kabisaNchi hii kila kitu shida.