Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

Ni patashika mataifa ya nje ya afrika kutaka wachume utajiri uliopo afrika. Afrika ni tajiri wa maliasili nyingi na hasa madini.
 
Viongozi wa Afrika karibia wote hawana akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…