MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini.
Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi???
Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority lakini wewe na kikundi chako ni minority yani kisa wewe na jopo lako mmeshaonja asali na hamtaki kupoteza mikate yenu basi mnaamua kulidhurumu Taifa haki yake?
WATANZANIA elimu na uelewa wetu upo chini sana, Taifa limejaa wazee na vijana wanaoshinda vijiweni kudiscuss Simba na YANGA mpka limkute mtu personally ndo unasikia anatoa milio.
Binafsi ukinambia kuna haki nakataa na nina uthibitisho,
Baba yangu mzazi na baba mdodo wamelitumikia taifa hili tangu miaka ya 1984 mpaka miaka ya 2014 lakini mpaka muda huu haki zao za mafao na maslahi mengine wamezimwa na watu wanaojiita wazalendo wanaolinda amani ya taifa. Hivi hapo kuna amani au kuna ukoloni?? Kila wakifatilia wanaambiwa wajaze ma fomu yasiyoisha mpka leo kimya kuna fununu pesa zilishaliwa na wakubwa na wanakingiana vifua tu.
Mimi binafsi nina amini mechi ikipigwa uwanja huru na marefa wakawa huru kufanya maamuzi yao kwa kuzingatia weredi basi kuna majitu asubuhi na mapema yataaibika na kulala chali hoi
NAUMIA SANA SANA SANA........