Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Wagalatia wa Tanzania kwa unafiki bana leo hii tunaambiwa serikali haina dini wakati wa JK kila alimteua Muslim mlikuwa mnalalamika humu kuwa JK ni mdini.
 
shuleni kuna watu wa dini zote kwanini makazini wanajazana wagalatia tu?

wagalatia wanafaulu na kusonga mbele wakati nyinyi ndo mnaishia hapohapo au mkibahatisha mnaishia divisheni 4 za ualimu , sasa huyo mtu ndo apelekwe TANESCO?
 
waislam wao ni kelele all days
kutwa ni kushinda kwenye mabao na kwenye madrafti wakiishi mjini kwa chuma ulete.....
ukiangalia miji ya kiislam kma lindi,kilwa,hamnaga maendeleo wamekalia uchawi na kusomea wenzao duaah waspate maendeleo.......
akina john wanaangaikia masters nk.......alaf baadae wanaanza kelele.......
 
Wagalatia wa Tanzania kwa unafiki bana leo hii tunaambiwa serikali haina dini wakati wa JK kila alimteua Muslim mlikuwa mnalalamika humu kuwa JK ni mdini.
nyi mnavyolalamika na kelele mingi huwa mnalilia nini?????????
dini nyingiune hizi........
mmepotea kujua dini,.....dini ya hovyo kabisa,...
na mambo ya kidunia mmepotea?????????
 
Ila linapokuja swala la nssf SERIKALI INAKUWA NA DINI! nchi hii ina wananchi wa ajabu sana !
 
wagalatia wanafaulu na kusonga mbele wakati nyinyi ndo mnaishia hapohapo au mkibahatisha mnaishia divisheni 4 za ualimu , sasa huyo mtu ndo apelekwe TANESCO?
vyuoni wamejaa waislamu na wana perform vizuri kuliko wala nguruwe lakini kwanini makazini waislamu ni wachache? Toka lini mla nguruwe akawa na akili?
 
Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!

Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali

RAIS WANGU MAGUFULI, USITEUWE WATU ILI KU BALANCE DINI. NI UPPUZI ULIOPITWA NA WAKATI. WEWE TAFUTA WENYE SIFA NA WACHAPA KAZI .DINI NI KIGEZO CHA WAJINGA. NDIO MAANA WATU WENYE AKLI SAFI, HAWAULIZI HII TAIFA STARS VIPI, WANAANGALIA KIWANGO NA MSAADA KWENYE TIMU. WATANZANIA ACHENI UJINGA UJINGA HUU WA KILA UTEUZI UNAANGALIA DINI, NI UJINGA ULIOPITILIZA. TUONYESHE UWEZO WAKO WA KUPIGA VITA RUSHWA NA UFISADI HALAFU DINI YAKO KWA MKEO. Sisi inatukusu nini?
Kwanza wengine tupo huku wengi kwenye BIASHARA KUBWA, maana ndipo tulipowekeza zaidi sisi na watoto wetu, njoo kariakoo tumejaa tele, Wengine tupo huku wengi sana kwenye michezo maana ndipo role model wetu walipo na sasa tunaitangaza Tanzania kimataifa, ndipo wazazi wetu walipowekeza zaidi. Maisha sio siasa tu watanzania achene UJINGA. Uzuri JPM hawezi kushawishiwa na ujinga huu wa DINI na wala hutamuona akijikomba kwa viongozi wa dini, yeye ni KAZI TU.
 
kah! kwani alivyoteuliwa mkirisitu mwenzangu ameniletea ugali nyumbani kwangu, mwisho wa siku tutaanza kulalamika "mbona hateui wazaramo"
 
Vihiyo wa BOT 93% ni wale ndugu zetu wamepitishwa mlango wa uani.Halafu mnakuja kusema kigezo ELIMU.
 
hahahahhaa...wagalatia hawako hivyo

Wao ni kazi tu...mambo ya Vipedo ofisini no

Na kubong'oa ofisini hapana
kazi ya wizi na ufisadi na kuimba kwaya kanisani? Wagalatia wameifanyia nini hii nchi zaidi ya wizi na ufisadi?
 
kazi ya wizi na ufisadi na kuimba kwaya kanisani? Wagalatia wameifanyia nini hii nchi zaidi ya wizi na ufisadi?

hahahahah...yule jamaa wa NSSF amepiga bilioni 100 daraja la kigamboni ...pia akapiga bilioni 150 mradi wa Dege...

Pia Bakwata inaagiza malori haiyalipii Kodi

Bakwata ina kibali cha kuagiza tani zaidi ya 2000 za sukari....kwani wanafanya biashara gani?

Arif,....Nyie ni wezi tu
 
Back
Top Bottom