Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia