kibanga mkolon
Member
- Mar 1, 2016
- 49
- 13
Mlizoea Kwa mkwere ndio mana nchi ilioza wacha magu apange safu yake hakuna udini hapo kazi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Huo ni uongo hata kikwete alijitahidi tu kufanya hivyo huu ni mfumo cristo toka enzi za nyerere na wala sio 50 50Huu sio wakati wenu mbona naye kikwete alifanya hivyo hivyo kuwaweka waislam wenzake hiyo inaitwa 50 kwa 50.
Wapi bwana chunguza vizuri.vigezo sio dini ndio maana hampo... ingekua dini hapo sawa
Kama wewe ni mdini lazima uhisi hivyo; sisi secularists tunajionea sawa tu; majihadist wasio elimu wala uzoefu wa maana wa kazi gani?!
Hukuzoea kwa sababu hamjaguswa na udini toka uhuru wa nchii hili tatizo lipo ni uvumilivu tu wa waislam ndio umetufikisha hapaKati ya watu ambao sio sensitive na dini ni Wakristo ila naona wenzetu manahisia kali sana naamini Magufuli hakuteua kwa kuangalia dini ila ameangalia tu nani ashike nafasi hiyo pasipo kujari dini,na hatukuzoea mambo haya ya udini ila ni kama kuna watu mnataka myaanzishe
Ivi wewe wangepita wakuu wa mikoa wengi wa kiislam wewe ungepata faida gani au ni kitu gani kingeongezeka kwenye maisha yako jamani acheni kulalamika fanyeni kazi.Huo ni uongo hata kikwete alijitahidi tu kufanya hivyo huu ni mfumo cristo toka enzi za nyerere na wala sio 50 50