Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia

Kama wewe ni mdini lazima uhisi hivyo; sisi secularists tunajionea sawa tu; majihadist wasio elimu wala uzoefu wa maana wa kazi gani?!
 
Acha udini wewe. Mh. Rais siyo mdini ila wewe ndiyo mdini kwa sababu unawaza kidini dini. Mbona hujauliza ambao hawana dini ni wangapi wameingizwa?

Mbili angalia teuzi zilizopita za Mh.Kikwete kama ratio ya waislam na wakristo ilikuwa sawa. Wakristo walikuwa ni wengi pia.

Serikali haindeshwi kwa udini ila kwa uwezo wa atakayeteuliwa. Kama hao unaowataka hawajafika kwenye standard zake awaingize tu kwa sababu za kidini?

Hoja yako inamapungufu makubwa. Haina tofauti na wale wanaosema 50/50 kati ya wanaume na wanawake katika uongozi. Kwamba hata kama mwanamke hana uwezo awekwe tu kisa 50/50. Hizi ni hoja muflisi..period!!
 
Nilijua mtakuja kwa wingi hizo sera zenu na uongo wenu ulisha pitwa na wakati waislam wapo wengi na wanaelimu ya kutosha ila hawapewi nafac kama teuzi vigezo ni majina sawa john pita ndani saidi nje sawa
 
Kati ya watu ambao sio sensitive na dini ni Wakristo maana huwa hatuna ubaguzi kwa misingi ya dini ndivyo biblia inavyotufundisha,ila naona wenzetu mnahisia kali sana naamini Magufuli hakuteua kwa kuangalia dini ila ameangalia tu nani ashike nafasi hiyo pasipo kujari dini,na hatukuzoea mambo haya ya udini ila ni kama kuna watu mnataka myaanzishe
 
Kama wewe ni mdini lazima uhisi hivyo; sisi secularists tunajionea sawa tu; majihadist wasio elimu wala uzoefu wa maana wa kazi gani?!

Ha! ha! unaujua u secular wewe? chunga kauli yako mkuu hii dunia tu! ipo siku utakufa wewe!
 
Kati ya watu ambao sio sensitive na dini ni Wakristo ila naona wenzetu manahisia kali sana naamini Magufuli hakuteua kwa kuangalia dini ila ameangalia tu nani ashike nafasi hiyo pasipo kujari dini,na hatukuzoea mambo haya ya udini ila ni kama kuna watu mnataka myaanzishe
Hukuzoea kwa sababu hamjaguswa na udini toka uhuru wa nchii hili tatizo lipo ni uvumilivu tu wa waislam ndio umetufikisha hapa
 
Huo ni uongo hata kikwete alijitahidi tu kufanya hivyo huu ni mfumo cristo toka enzi za nyerere na wala sio 50 50
Ivi wewe wangepita wakuu wa mikoa wengi wa kiislam wewe ungepata faida gani au ni kitu gani kingeongezeka kwenye maisha yako jamani acheni kulalamika fanyeni kazi.
Mnapo zidi kulalamika ndio mnapo zidi kujipotezea tekniki za kimaisha.
 
waislam 65% Hahaha hahahahahaha, ndio mnadanganyana hv Madrasa eti eeh.. hata 30% mkifika n habati sana, mko mikoa ya pwani tu, huko kwngne wakutafuta kwa tochi
 
Magufuli ni mkatoliki mdini hatari zaidi ya nyerere
Anaongozwa na kardinali pengo na mkapa.

Wanalipiza walikuwa nje muda miaka10
Anawabamiza waislamu waziwazi.
 
kiukweli leo nilikua nabadilishana mawazo mkristo mmoja kiukweli nae kwa hili la wakuu wa mikoa anasema hajafanya haki.
 
Kisa ni Magufulo au? Hata J. Kikwete wakristo walikuwa wengi, fanya research! Au sababu yule alikuwa ni sheikh mkakosa pa kumlapamikia??
 
Back
Top Bottom