Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Ivi wewe wangepita wakuu wa mikoa wengi wa kiislam wewe ungepata faida gani au ni kitu gani kingeongezeka kwenye maisha yako jamani acheni kulalamika fanyeni kazi.
Mnapo zidi kulalamika ndio mnapo zidi kujipotezea tekniki za kimaisha.
Kwa mtazamo wako unaweza kuona hili jambo la kawaida lakini kwa matatizo ya mtu binafsi bado udini kwenye maofisi ni athari kibwa sana kama tunataka kazi pamoja na cv ziko sawa ww utapata kazi na mm mwislam sintapata kazi huoni kama ni athari kwa vizazi na vizazi na kudhoofisha umma wa kiilam ki maslah
 
Hili linaingia hadi kwenye kazi sababu mnalipigia sana mstari.
 
niliwahi kusimuliwa hadithi ya karume kenge hataki kwenda shule. mkuu unamkumbuka au ndio ...........
jamani jatuhitaji viongozi wakristo wala waislam wala wapagani wala marasta!!! tunahitaji viongozi wenye uwezo katila nafasi wanazopewa. All in all hata wakiwa wa dini flan watupu haimaanishi kuwa watu wa dini hiyo watakula bila jasho. tufanye kazi kwa bidii tu. Hata atuongoze nani hatabeba majukumu yetu mmoja mmoja.
 
Balal sio jipu bse ni mkiristo angekuwa sio mkiristo lingetumbuliwa

This is bias. Anajiri wafanyakazi hewa hela zapotea eti anapewa muda wa kurekebisha.
Kwann rashid badie tea hakupewa muda?
Huu no chuki tu
Na baadae itakuwa kama Afrika ya kati.
Kila MTU chake.
 
Freedom of expression.
 
AISEE HATA SISI ATHEIST HATUNA HATA MTU MMOJA!! NA SIKU HIZI TUKO WENGI SANA, TUSIOAMINI HIZI DINI ZENU ZILIZOLETWA NA WAMISSIONARY(LIVINGSTONE NA WENZIE) NA AKINA TIPU TIPU, NA KUACHANA NA DINI ZETU ZA ASILI , KAMA MANATAKA UDINI HAMIENI SYRIA AU ISRAEL, IRAN AU SAUDIA, TUACHIENI HILI TAIFA LISILO NA DINI!!!
 
Hukuzoea kwa sababu hamjaguswa na udini toka uhuru wa nchii hili tatizo lipo ni uvumilivu tu wa waislam ndio umetufikisha hapa
Sasa mkuu mbona miaka ishirini ya historia ya nchi hii waliongoza waislam? Mlishindwa nn sasa hiyo miaka ishirini kubadilisha huo unaoitwa mfumo Kristo?
 
Give him a break!
kigezo kikubwa ni HAPA KAZI TU!
 
Kwani mkuu uongozi uliopita uwiano ulikuwaje kwenye hizi nafasi za ukuu wa mikoa na wilaya? Ulileta pia hapa jukwaani?
Ilikua haizidi hata%35 lakini muheshimiwa rais wangu magufuli ndio hataki kabisaaa kuona sura za waislam katika utawala wake mi sion hata sababu ya kiwatema wakuu wote wa mikoa tena 8 basi kama ameona hawafai kwa nn usiweke japo uiano kidogo mbona mnatumia nguvu nyingi sana kihusu uiano wa kijinsia tumieni nguvu hizo hizo uiano wa kidini
 
Hakuna Rais kama mhe Magufuli.
Najivunia Kuwa na Rais Mwenye uchungu na maendeleo ya nchini yake.
 
Na kwann asilimia isiyozidi 35 mkuu uongozi uliopita si alikuwa mwenzenu?
 
Mi cjakataa na napenda utendaji wake lakini kwa hili nahaki ya kusema
 
Huu sio wakati wenu mbona naye kikwete alifanya hivyo hivyo kuwaweka waislam wenzake hiyo inaitwa 50 kwa 50.
Kiongozi wa hili taifa akianza kuteua na kuzingatia DINI na MAKABILA /UKANDA huyo atakuwa ni tatizo kubwa kwa taifa hili kama MZEE WA MSOGA na matokeo yake ni kuchagua wauza BANGI kuwa viongozi kwa kigezo cha DINI yake. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…