karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 421
Kwa mtazamo wako unaweza kuona hili jambo la kawaida lakini kwa matatizo ya mtu binafsi bado udini kwenye maofisi ni athari kibwa sana kama tunataka kazi pamoja na cv ziko sawa ww utapata kazi na mm mwislam sintapata kazi huoni kama ni athari kwa vizazi na vizazi na kudhoofisha umma wa kiilam ki maslahIvi wewe wangepita wakuu wa mikoa wengi wa kiislam wewe ungepata faida gani au ni kitu gani kingeongezeka kwenye maisha yako jamani acheni kulalamika fanyeni kazi.
Mnapo zidi kulalamika ndio mnapo zidi kujipotezea tekniki za kimaisha.