The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Duuu mbona hueleweki???Balal sio jipu bse ni mkiristo angekuwa sio mkiristo lingetumbuliwa
This is bias. Anajiri wafanyakazi hewa hela zapotea eti anapewa muda wa kurekebisha.
Kwann rashid badie tea hakupewa muda?
Huu no chuki tu
Na baadae itakuwa kama Afrika ya kati.
Kila MTU chake.
Hivi mnatambulikaje??Kwa majina au mna alama usoni??AISEE HATA SISI ATHEIST HATUNA HATA MTU MMOJA!! NA SIKU HIZI TUKO WENGI SANA, TUSIOAMINI HIZI DINI ZENU ZILIZOLETWA NA WAMISSIONARY(LIVINGSTONE NA WENZIE) NA AKINA TIPU TIPU, NA KUACHANA NA DINI ZETU ZA ASILI , KAMA MANATAKA UDINI HAMIENI SYRIA AU ISRAEL, IRAN AU SAUDIA, TUACHIENI HILI TAIFA LISILO NA DINI!!!
Siku zote usipige hesabu ya kuajiliwa tu. Wakati mwingine uwe unafikiria hata kujiajili mwenyewe ili nawewe uje uwaajili wengine.Kwa mtazamo wako unaweza kuona hili jambo la kawaida lakini kwa matatizo ya mtu binafsi bado udini kwenye maofisi ni athari kibwa sana kama tunataka kazi pamoja na cv ziko sawa ww utapata kazi na mm mwislam sintapata kazi huoni kama ni athari kwa vizazi na vizazi na kudhoofisha umma wa kiilam ki maslah
Hivi mafisadi wa nchii ni kina nani kama sio magalatia toka utawala wa nyerere mmekua mkituibia tu mali za nchii hii na kusomesha watoto wenu nje ya nchi hebu angalia hao wanaotumbuliwa majipu ni kina nani kuna rashid abdala au juma angalia kashfa ya rugemalila kuna juma pale mlipeana mpaka ma padri majizi ya nchi hii ni nyinyiKiongozi wa hili taifa akianza kuteua na kuzingatia DINI na MAKABILA /UKANDA huyo atakuwa ni tatizo kubwa kwa taifa hili kama MZEE WA MSOGA na matokeo yake ni kuchagua wauza BANGI kuwa viongozi kwa kigezo cha DINI yake. ..
Tafakari,nchi hii haina udini ila nyie ni walalamishi sana awamu ya nne mlitikisa nchi sana kwa udini hata hivyo busara ya Wakristo imefanya tufike hapa tulipoHukuzoea kwa sababu hamjaguswa na udini toka uhuru wa nchii hili tatizo lipo ni uvumilivu tu wa waislam ndio umetufikisha hapa
Uvumilivu INA mwishoEndeleeni kuvumilia
AISEE HATA SISI ATHEIST HATUNA HATA MTU MMOJA!! NA SIKU HIZI TUKO WENGI SANA, TUSIOAMINI HIZI DINI ZENU ZILIZOLETWA NA WAMISSIONARY(LIVINGSTONE NA WENZIE) NA AKINA TIPU TIPU, NA KUACHANA NA DINI ZETU ZA ASILI , KAMA MANATAKA UDINI HAMIENI SYRIA AU ISRAEL, IRAN AU SAUDIA, TUACHIENI HILI TAIFA LISILO NA DINI!!!
toni ya kanisa??Na wewe unaamini katika hili kwa tanzania wakat wimbo wa taifa toni yake ni ya kanisa. Tafakar ndugu.
nilikipigia kura kama memba mwenye busara, kumbe busara yenyewe ndo hii? niliingia chakike, kumbe ni kinyume chake
SASA "Hivi mnatambulikaje??Kwa majina au mna alama usoni" MAANA YAKE NINI , MR UDINI??Hivi mnatambulikaje??Kwa majina au mna alama usoni??
inaegemeaje kwenye ukristo?nikatika kuupumbaza tu upande fulani uamini hivo ila ni ukweli usio na chembe ya shaka serikali ya tanzania inayo dini na inaegemea ukiristo
Kweli mkuu. Kuna vitu kama kupewa majengo ya umma (kodi za makundi yote ya dini) kuwa chuo kikuu cha dini flan ambayo ningetegemea labda yangesemwa lakini si haya ya sasa..Haya mambo ndo Mwl. Nyerere alikuwa anayapiga vita. Watu wakikosa hoja wanakimbilia kwenye udini na ukabila.
Ikiwa mnaelimu mngeua nchi?
Nchi kabla ya Mwinyi ilikuwa ICU, kuondoka Mwinyi tu watu wakajimilikisha mpaka migodi. Umesahau?