The hammer
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,397
- 1,786
Kwa kweli hii nchi ni ngumu kuongoza.Ina wajinga na w.apumbavu wengi.Akitoka Arusha au Klm shida,akitoka Mwanza,Kagera,Mbeya napo shida.Mwishowe akichagua waislam tupu mtasema mbona wamejaa washia mbona wasuni wachache.Kuna laana,labda tuache kukimbiza mwenge maana labds ndo unaotupumbaza