Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Mungu ni Supreme power na dini siyo sawa na Mungu.

Mungu wa waislam ni Allah, Mungu wa wakristo wanajua pia na Mungu wa wasiona na dini aweza kuwa jiwe au mti. Hivyo seikali haina dini ila inatambua nguvu inayozidi nguvu zingine ndiye Mungu huyo lakini siyo dini
 
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF kwenye Quran hakuna huo upuuzi uliondika Quran inasisitiza kila mtu kusoma.
 


tumekuzoweeni sana nyie watu mnaozaliwa na kulelewa kwa shari. ngoja nikuletee source kutoka kwa mwislam mwenzio uje hili sijatunga. sana sana haya maneno yako ni ya kutunga manake sifa yenu nyingine ni uwongo. nakupa source muda si mrefu.

Hoja ya msingi ni kwamba Hao waarabu wenu hawakulet shule hapa. Kama unazijua tuambie hapa. mlitaka mkasome wapi kupata huo ujuzi mbalimbali wa kusoma maandiko haya. Dunia haiendeshwi kwa maandiko yanayoanzia kulia kuelekea kushoto. Hii elimu haikuwapo misikitini. Mshukuruni nyerere aliyetaifisha mashule ya misheni. mngesoma wapi?

nakupa source sasa hivi ubishane na mwislamu mwenzio; labda huyo ndo wahed mwenzio. Sisemi jambo bila kufanya research mjahidina mkubwa wewe...
 

Wacha porojo wewe, umejidai hapo juu kuweka reference number ya aya, nimekuletea hiyo aya imekukushushuwa.

Sijui nani kakudanganya na kukujaza ujinga sasa eti unataka kuniletea Muislam mwenzangu, mlete.

Na mimi nakupa link, nenda kaisome Qur'an tena imetafsiriwa Kiswahili, ha;afu urudi tena hapa, usitake kudanganya watu kuweka manamba yasiyokuwa na mpango unapoletewa aya, huna la kujibu, kama hujui sema tu hujui, uliza yukupe darsa, usihororoje hovyo hovyo.

Hii hapa link, kajisomee: Qur'ani Tukufu
 
Mungu wa Manyani! By the way, ni mwimbo wa Taifa siyo wa Serikali.
 
Kwa taarifa yako Hakuna mtu anaemuabudu Muhammad kama ilivyo wakristo wanamuabudu Yesu na kumuita mungu aliyepigwa na kutundikwa msalabani na wafuasi wake mwenyewe, Mungu wa waislam(Allah) ambae ni mmoja tu na hana mshirika na kitu chochote ndiye aliyemuumba muhammad, na viumbe wengine wote na huyo ndiye anaepaswa kuabudiwa /kusujudiwa/kutegemewa kwa kila kitu, muhammad alikua ni mjumbe wake aliyetumwa kutufikishia ujumbe wa mungu kama ilivyokua kwa mitume wengine walipita eg. musa, maseh

Tafadhali usichanye mambo fanya utafiti kwanza kabla hujandika humu.
 


OK. Qur An Tukufu 3:110

hebu weka nukuu hapa
 
Last edited by a moderator:
Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe vya mapuya na kuleta JF kwenye Quran hakuna huo upuuzi uliondika Quran inasisitiza kila mtu kusoma.



OK. Qur An Tukufu 3:110

hebu weka nukuu hapa

mimi si mtu wa vijiwe kama ulivyo wewe na huyo faiza soski wako. wekeni nukuu ya Qur An Tukufu 3:110

hapa watu wasikie panasema nini....
 
Last edited by a moderator:
OK. Qur An Tukufu 3:110

hebu weka nukuu hapa



au gonga hapa

'Muslims won't win against the West'.mp4 - YouTube

Sasa umebadili aya umekuja na Qur'an 3:110, naweka nukuu kama ulivyotaka, hii hapa:

Qur'an 3:110. Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu.

Nimekueleza juu huko, kama hujui unachokiongea ni bora ungeuliza tukufahamishe kuliko kuhangaika katika mambo usiyokuwa na ilmu nayo.

Sasa yale uliyoyaandika na aya ile ya kwanza ukajiona kuwa ume bugi umekuja na aya nyingine ambayo sijui utasemaje. Usisikilize watu wanaongea kwenye Youtube bila kujuwa wanachokiongea ni nini.

Nakupa offer nyingine tena, kama kuna kitu kinakutatiza katika mafundisho ya Uislam ni bora umuulize Muislam akupe darsa na references la sivyo utajiaibisha tu. Mimi niko tayari kukujibu na kukupa darsa kuhusu Uislam, wakati wowote usisite kuuliza chochote na ntakujibu kadri ya uwezo wangu alionijaalia Allah.

Pole sana.
 


utafiti nilishafanya ndugu. nimekwambia tunatumia ngazi kumfikia mungu. hizo ngazi ndizo zinazotuelekeza njia na namna ya kumfikia Mungu.

hakuna kosa katika hoja hiyo. badala ya neno ngazi, wewe umetumia neno Mitume. Sawa. Hii mitume ndo ngazi zenyewe, na wote ni mizumu saa hizi. hakuna aliyepo duniani. Tunafuata tu maelekezo yao kiroho.

Na kwa taarifa yako, Waislamu hawamkatai Yesu Kristo. Huyu naye wanamuona ni ngazi mojawajo ya maelekezo.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Kwani Mungu ana dini? Anatajwa uyo Mungu mmoja unaemcikia aliyeumba mbingu na nchi. Kwani huu wmbo unaimbwa na serikal au watu?
 


Haya. Baada ya maelezo yako haya, hebu sasa jadili hoja ya huyu Muislamu mwenzio. Je ni Mwongo? au yeye antumia Qur An tofauti na ya kwako?

OK. Qur An Tukufu 3:110
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo wewe unajadili kitu usichokijua,hiyo 3:110 haizungumzii hicho unachokisema, then sawa waislamu walishindwa kusoma ktk shule za zilizoko chini ya kanisa unachotakiwa kujua ni: hayo ni mazingira yaliandaliwa makusudi ili kuwanyima elimu baadhi ya watanzania wa dini nyengine

Shule pamoja na taasisi nyingi za kanisa ziliasisiwa na wakoloni kwa kutumia kodi zetu sote kuimarisha kanisa then tukawastukia tukajipanga kuwaondoa kwa kudai uhuru,nyerere akajipenyeza akaaminiwa na wazee kama mtz atakaeleta haki tofauti na walivyofanya wakoloni lakini alichofanya ni kujifanya mzalendo huku akiendelea kulisaidia kanisa kwa kiwango kikubwa,waislamu wakaanzisha EAMWS akaivunja akanzisha bakwata na kuwaweka vibaraka wake..na kuimarisha system ya kanisa ambayo si rahisi kuiondoa bila kutumia nguvu ya umma..
kwa kifupi watanzania wote walikua wako sawa b4 hatujaingiliwa na wakoloni lakini walivyokuja wabinafsi wakatugawa na ndio tofauti unazoziona.

Issue ya warabu kutokujenga shule sio sababu ya kuwadhulumu waliopfuta mafundisho yao. Bado sote tunabakia kuwa watanzania lakini nyerere na wakoloni walitutenganisha. Kuongezea tu ni kwamba chini ya nyerere Yalianzishwa majeshi ya wokovu ndani ya jeshi la wananchi,....ikaendelea issue MOu ya kanisa na serikali na mengineyo
 


Hii hoja yako ni nyepesi sana. Unasema wakoloni--hususan Waingereza--walijenga mazingira ya kuwanyima Waislamu Elimu? Haya maneno hayana maana kabisa.

Mwingereza amekuja Zanzibar miaka karibia 150 baada ya Mkoloni aliyetangulia katika eneo hili--Mwarabu mwenye elimu ya kusoma maandishi kutoka kulia kuelekea kushoto. Na Mwingereza pale Zanzibar hakuwa na nafasi ya kujenga mazingira kama hayo kwa Sababu Mwarabu aliendelea kuwa na sauti.

Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania, na ndio kitovu cha imani hii katika Taifa hili. Unataka kusema pale Zanzibar ambako Mwarabu alikaa miaka 150 hivi kabla ya Muingereza tunaweza kupata shule zillojengwa na huyu Mwarabu kuleta elimu dunia kama iliyokuwa inafundishwa kwenye shule za misheni?

Ninachotaka kusema ni hiki: Wamisionari wa Kiarabu hawakutaka kuleta maendeleo eneo hili. Shida yao ilikuwa Karafuu, Pembe za ndovu, Watumwa na kutia mimba mabikira wa kiafrika. Basi. Kuna shule hapo?

Sasa jadili hoja hii:

OK. Qur An Tukufu 3:110
 
Last edited by a moderator:
Haya. Baada ya maelezo yako haya, hebu sasa jadili hoja ya huyu Muislamu mwenzio. Je ni Mwongo? au yeye antumia Qur An tofauti na ya kwako?

OK. Qur An Tukufu 3:110


au gonga hapa

'Muslims won't win against the West'.mp4 - YouTube

Naona darsa limekuingia na huna zaidi.

Sasa wewe kwanini unabandika manamba tu, hubandiki aya yenyewe na reference ya wapi pa kuzipata hizo aya nimekupa.

Huyo msikilize wewe halafu uje na maswali yako, mambo ya Ujerumani na Waturuki hapa yanahusu nini?
 


Watu wanaofanya research kama mimi tunafundishwa kusema jambo, halaf kusema Source yako ni ipi. Inapotokea kuna mtu hakubaliani na source yako, yeye sasa ndo anatakiwa kueleza kwa nini hiyo source si nzuri na ipuuzwe.

Mimi naiamini source yangu kwa sababu ni mtu amesoma uislamu akaishi nao. Wewe uneleta maneno ya kiswahili na kusema ndiyo aya inavyosema. Yeye source wangu ameleta maneno ya kiingereza na kusema ndivyo aya inavyosema. kwa hiyo wewe na yeye mnapingana kuhusu aya hiyohiyo moja.

Ndiyo maana nimekuuliza je huyu mtu ana Qur an tofauti ya ile unayotumia wewe? Hilo ndo la kujadili.... je kuna tafsiri tofauti tofauti za Quran? Kwamba moja ya FaizaFoxy inasema hivi na ile ya huyu mzungu inasema vingine kwenye eneo hilohilo? jadili hili nimpate mwongo nani kati ya huyu Mzungu na FaizaFoxy.... nani mwongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…