Allah na Yahweh ni wa Mashariki ya KatiKama ni wengi ni Miungu, si Mungu.
Jifunze Kiswahili kabla ya kurukia habari za Mungu.
Hujathibitisha kwamba Mungu yeyote yupo.
Kama kuna Miungu wengi, anayetajwa na serikali ni yupi?
Allah au Yahweh?
Na serikali isiyo na dini ikimtaja Mungu katika kazi zake wakati kuna raia hawaamini uwepo wa Mungu haijawatenga hao raia kidini?
Ikiwatenga hao raia kidini bado haina dini?
That is beside the point.Allah na Yahweh ni wa Mashariki ya Kati
Kwa nchi hii wapo zaidi ya hao. Mfano Inguluvi,Kyara,Ruwa n.k.
'.......'In your Perspective ''That is beside the point.
nje ya mada una kisiranitatizo waislamu weng zamani hatukusoma tulikariri elimu ya dini wakati wenzetu wakristo wanasoma na kujenga mashule yao,hata sasa hivi waislamu wengi uwa wanafeli sana kwa sababu wanasoma sana elimu ya dini kuliko.mfno ukiangalia mikoa yenye idadi kubwa ya waislamu muamko wa elimu hakuna mfn Lindi,mtwara,tabora,singida,kigoma,
And that is your perspective, an incurious, ignoble one that demonstrates the really incredible amount of vulgarity a petty mind can work into a farce about unsubstantiated trifling musings.'.......'In your Perspective ''
Arrogant people think they know it all … or at least pretend they do. So they often want to start at the top. They want a position that recognizes their extra-special talent. But it’s not only stupid, it’s also counterproductive.And that is your perspective, an incurious, ignoble one that demonstrates the really incredible amount of vulgarity a petty mind can work into a farce about unsubstantiated trifling musings.
Timid people have much to be timid about.Arrogant people think they know it all … or at least pretend they do. So they often want to start at the top. They want a position that recognizes their extra-special talent. But it’s not only stupid, it’s also counterproductive.
Mjomba, we bingwa wa lugha!!Timid people have much to be timid about.
And they take every pointing out of their stupidity as arrogance.
In stating that my pespective is my perspective, you are making a banal point, stating the obvious.
I would respect you more had you pointed out that my perspective was incorect, with valid reason.
Else, you are just bitching about an incredulous and laughable no brainer.
Hapana, we una viwango hafifu vya ubingwa wa lugha tu.Mjomba, we bingwa wa lugha!!
Mie nimesoma shule ya msingi,hivyo basi hiyo ni lugha yangu ya tatu, kutoka msingi mbovu.Hapana, we una viwango hafifu vya ubingwa wa lugha tu.
Halafu ikaja awamu inayoteua kwa kuangalia kabila la mtu.Ktk awamu ya nne kulikua na teuzi nyingi sana za kuridhishana kidini badala ya kuzingatia utendaji kuna watu hata wa dini yangu waliteuliwa kwaajili tu ya kuturidhisha dini yetu huo ni udhaifu mkubwa sana ambao rais ameuzika kwa kuteua watu bila kuuliza kwanza dini zao.