Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Jamani wana jf katika kuboresha jukwaa letu leo tujadiliane kwa umoja wetu ktk mada hii hai.

Kwa kipindi kirefu sana hii hoja ipo midomoni mwa watanzania. Hii hoja ipo chinichini tangu mda mrefu sana, na kwetu sisi tusiofuatilia mambo tunashindwa kuelewa maana ya msemo huo kwani tunachojua watanzania wengi kwamba serikali yetu haina dini ila watu wake ndio wenye dini. Hivi wanaoendekeza msemo huo huwa hawasomi katiba ya nchi au wana maana nyingine wanayoijua wao.

Ninachokijua mara nyingi kijana akienda kwenye masaili ya kazi akikosa utasikia nilijua tu udini, sasa ukimuuliza ulitaka achaguliwe nani wakati nchi yenyewe ni ya waislamu, wakristo na wapagani.

Ukiangalia uteuzi mbalimbali ambao unafanywa utaona kwamba wapagani ndio hawapewi kipaumbele kwani ukianzia kwa kuangalia ofisi chache tu mfano wakuu wa mikoa wapo 26 wakristu 11 waislam 15 ,wapagani 0, wakuu wa wilaya 126 wakristu 52 waislam 74 wapagani 0. Wakurugenzi , mabalozi ,mawaziri, na maafisa wengine wa serikali hali kadharika.tueleweshane jamani
 

We Faiza,mfuasi wa Allah.
Naona umepandwa na mapepo
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Tafuta kamusi usome nini maana ya dini. Unapoamin uwepo wa MUNGU sio lazima uwe na dini.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Kwa nini maana ya dini? Dini ziko nyingi lkn kila dini ina Mungu wake, hilo halikushangazi zaidi?
 

Wewe kweli hamnazo, Faiza amekujibu vizuri kabisa, na kukubainishia kuwa huyu jamaa ambae ametoa aya hiyo nae hamnazo kama wewe sababu aya hiyo inaongelea kitu tofauti kabisaaa, lakini bado umeng'ang'ana tuuuu, nyie wagalatia kuelimika ni zaidi ya kuvaa tai, mbona wagumu kuelewa nyie?

Mnakera sana, wewe kama unataka kuelimishwa kuwa mpole, Waisilamu tukupatie darsa, na sio kubwabwaja tu hapa, kwa kuzidi kunukuu upuuzi... Bahati mbaya ulivyo naakili finyu bado unaendelea kumnukuu huyo jamaa asojua kuchamba, amkeni enyi wagalatia
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

.......................................lakini watu wake wana dini, hiyo ndiyo reason behind. leta swali jingine tukamue.
 


sidhani kama ni jambo jema kumtukana nyerere mtu aliyewasaidia waislamu kutekeleza suna ya mtume ya umbumbu, kutokujua kusoma na kuandika ni suna, koran haitakiwi kusomwa mara zote allah alimuamrisha muhamad sema na sio soma so quran inatakiwa kusemwa na inawalenga wasiojua kusoma pekee, hivi nitawafundisha dini yenu mpaka lini?
 
Sasa jadili hoja hii:

OK. Qur An Tukufu 3:110

huyu mtu ni mwongo?


au gonga hapa

'Muslims won't win against the West'.mp4 - YouTube




Ndugu Sword nikiri jambo hapa: NIMEKUOGOPA!!!!!!!! Sword? Jina tu linaashiria wewe unaweza uwe ni kaka jambazi. Nikuombe huruma japo kidogo tu ndugu yangu. Nimalizie hivi. Inawezekana kabisa huyu mzungu ni mwongo. sasa kutokana na mimi kudhani anasema ukweli? ndo maana nikamtumia yeye kama kigezo? Basi naomba nisamehe ndugu yangu. Sikujua nitendalo binadamu mwenzio.

hiviii?! nikuulize, kwani nayo Qur an inacho kipengele cha msamaha? Au yenyewe ni visasi tu... Kama kipengele cha msamaha kipo, basi tafadhali kaka jambazi naomba tumia kifungu hiko nisamehe binadamu mwenzio. Nimetumia nukuu ya mzungu hajui anachosema. Tafadhali nisamehe ndugu yangu, hata kama utakosa kifungu cha msamaha kwenye Qur an.

Assalam Alaikum!
 
Last edited by a moderator:
hawana msamaha hawa, sasa mpaka siku hizi upanga umewageukia Wenyewe kwa Wenyewe, Libya, Iraq, Sudan, Nigeria, Mali,syria,

Naona waislam wengine wamegeuka makafiri. madhehebu ya wakristo ata yawe mangapi na kupishana mtazamo haiwezekani kukatana mapanga, ingekuwa nguvu ya kijeshi ya dunia Allah angeiweka mikononi mwa waislam basi,asingekuepo mkristo.

lakini Allah aliiweka mikononi mwa Wa kristo,ndo maana tunawaachia msilimishe dada zetu tu, life goes on.
 

Nchi yoyote inayokubali kusajiliwa katika mfumo huu wa kimataifa tulioo nao wa kufuatisha Westphalian states imekubali kuwa chini ya mfumokristo.

The rule of international morality are based on western principles which are strongly rooted in Christianity.

The very nation states as they exist right now are based on Italian city states and the Peace of Westphalia.

Let's not kid ourselves that kuna nchi inayo exist na kutambulika kimataifa ambayo imeepuka mfumokristo.

Hata kufuata human rights framework iliyopo sasa tu ni kufuata mfumokristo.

Ndiyo maana unasikia Wasaudi wakichinja watu ki sharia sharia wanatuhumiwa kutofuata human rights.

By the way, mungu in the commonly accepted Tanzanian context (Muslim, Christian, traditional) is one big hoax.

Politicians just like to use the idea as a pacifier and lazy escape route.
 

Nyie si mlikimbilia madrasa mkaiona ndio taasisi itayowapa knowledge. Majority ya shule si zilikuwa chini ya mission mlisema ni taasisi za makafiri sasa mnalalamika nini sasa hivi? Nyie watu ni wanafiki sana kama huyu kiongozi wenu.
 
Unapokuwa mtumishi wa selikali unatakiwa usiwe na dini badala yake uwe mpagani,ndio maana ya selikali aina dini NAPITA njia
 
Last edited by a moderator:
Wanaomba kwa Mungu ambaye ndiiye Muumba wa Mbingu na Nchi na vitu na watu wote.
Serkali inajua Mungu yupo ila kuabudu ni wajibu wako na haikuingilii ili mradi usivunje sheria.
 
Nyie si mlikimbilia madrasa mkaiona ndio taasisi itayowapa knowledge. Majority ya shule si zilikuwa chini ya mission mlisema ni taasisi za makafiri sasa mnalalamika nini sasa hivi? Nyie watu ni wanafiki sana kama huyu kiongozi wenu.

Naam sisi tunakimbilia madrassah kila siku, madrasaah na sisi ni part and parcel ya maisha yetu, kuanzia utotoni mpaka tunaingia kaburini, juzi, jana, leo, kesho na si Tanzania tu, dunia nzima.

Wanafik ni nyinyi mnaeingiwa na uoga kila mnapoona Muislam, na sasa yake ya kunyimwa fursa yanaanza kuyeyuka na kujitahidi kwenu kote kuupiga vita Uislam na Waislam kwa njia tofauti, Ndalichako tumemstukia.
 

Kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, soma mada.
 
Kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, soma mada.

Mada inahusiana na serikali kuwa na dini, mimi nimeongelea hadaa ya serikali yoyote iliyo katika mfumo wa mataifa huu wa leo wenye misingi ya kidini, specifically kikristo, kutoweza kuwa ya kidini.

Nabwabwaja kivipi?

Kati yangu niliyeangalia mzizi wa suala na wewe usiyeweza kuona matawi kutoka shina, nani anabwabwaja?
 

Kiranga Achana na FaizaFoxy, ana brain concantion whatever it is
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…