THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Kwamba kila taifa lina serikali haimaanisha kila kitu cha taifa ni cha serikali.Nitajie taifa ambalo halina serikali.
Kama ni hivyo hata timu ya taifa tunaweza kuiita timu ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kila taifa lina serikali haimaanisha kila kitu cha taifa ni cha serikali.Nitajie taifa ambalo halina serikali.
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".
Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.
Msome Sivalon anachambuwa hilo.
Unafik mtupu.
Serikali kutokua na dini,maana yake ni kutoegemea katika msimamo wa dini,moja,kama,yalivyo madola kama ya Iran.
Tafuta kamusi usome nini maana ya dini. Unapoamin uwepo wa MUNGU sio lazima uwe na dini.Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Hii hoja yako ni nyepesi sana. Unasema wakoloni--hususan Waingereza--walijenga mazingira ya kuwanyima Waislamu Elimu? Haya maneno hayana maana kabisa.
Mwingereza amekuja Zanzibar miaka karibia 150 baada ya Mkoloni aliyetangulia katika eneo hili--Mwarabu mwenye elimu ya kusoma maandishi kutoka kulia kuelekea kushoto. Na Mwingereza pale Zanzibar hakuwa na nafasi ya kujenga mazingira kama hayo kwa Sababu Mwarabu aliendelea kuwa na sauti.
Zanzibar ni Sehemu ya Tanzania, na ndio kitovu cha imani hii katika Taifa hili. Unataka kusema pale Zanzibar ambako Mwarabu alikaa miaka 150 hivi kabla ya Muingereza tunaweza kupata shule zillojengwa na huyu Mwarabu kuleta elimu dunia kama iliyokuwa inafundishwa kwenye shule za misheni?
Ninachotaka kusema ni hiki: Wamisionari wa Kiarabu hawakutaka kuleta maendeleo eneo hili. Shida yao ilikuwa Karafuu, Pembe za ndovu, Watumwa na kutia mimba mabikira wa kiafrika. Basi. Kuna shule hapo?
Sasa jadili hoja hii:
OK. Qur An Tukufu 3:110
huyu mtu ni mwongo?
au gonga hapa
'Muslims won't win against the West'.mp4 - YouTube
We Faiza,mfuasi wa Allah.
Naona umepandwa na mapepo
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Highlander Quran unaijua au ushabiki wa kiimani unakusumbua soma hapo chini Quran 3-110
ﻛُﻨْﺘُﻢْ ﺧَﻴْﺮَ ﺃُﻣَّﺔٍ ﺃُﺧْﺮِﺟَﺖْ ﻟِﻠﻨَّﺎﺱِ ﺗَﺄْﻣُﺮُﻭﻥَ ﺑِﺎﻟْﻤَﻌْﺮُﻭﻑِ ﻭَﺗَﻨْﻬَﻮْﻥَ ﻋَﻦِ ﺍﻟْﻤُﻨْﻜَﺮِ ﻭَﺗُﺆْﻣِﻨُﻮﻥَ ﺑِﺎﻟﻠَّﻪِ ۗ ﻭَﻟَﻮْ ﺁﻣَﻦَ ﺃَﻫْﻞُ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏِ ﻟَﻜَﺎﻥَ ﺧَﻴْﺮًﺍ ﻟَﻬُﻢْ ۚ ﻣِﻨْﻬُﻢُ ﺍﻟْﻤُﺆْﻣِﻨُﻮﻥَ ﻭَﺃَﻛْﺜَﺮُﻫُﻢُ ﺍﻟْﻔَﺎﺳِﻘُﻮﻥَ
Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu.
Haya wapi hiyo aya inakataza waislamu wasisome kwa makafiri?
nyerere alikuwa dikteta na kama sio yeye uislamu/waislamu wangekuwa mbali sana acheni chuki zenu za kijinga.
Wewe kweli hamnazo, Faiza amekujibu vizuri kabisa, na kukubainishia kuwa huyu jamaa ambae ametoa aya hiyo nae hamnazo kama wewe sababu aya hiyo inaongelea kitu tofauti kabisaaa, lakini bado umeng'ang'ana tuuuu, nyie wagalatia kuelimika ni zaidi ya kuvaa tai, mbona wagumu kuelewa nyie? Mnakera sana, wewe kama unataka kuelimishwa kuwa mpole, Waisilamu tukupatie darsa, na sio kubwabwaja tu hapa, kwa kuzidi kunukuu upuuzi... Bahati mbaya ulivyo naakili finyu bado unaendelea kumnukuu huyo jamaa asojua kuchamba, amkeni enyi wagalatia
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".
Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.
Msome Sivalon anachambuwa hilo.
Unafik mtupu.
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".
Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.
Msome Sivalon anachambuwa hilo.
Unafik mtupu.
Nyie si mlikimbilia madrasa mkaiona ndio taasisi itayowapa knowledge. Majority ya shule si zilikuwa chini ya mission mlisema ni taasisi za makafiri sasa mnalalamika nini sasa hivi? Nyie watu ni wanafiki sana kama huyu kiongozi wenu.
Nchi yoyote inayokubali kusajiliwa katika mfumo huu wa kimataifa tulioo nao wa kufuatisha Westphalian states imekubali kuwa chini ya mfumokristo.
The rule of international morality are based on western principles which are strongly rooted in Christianity.
The very nation states as they exist right now are based on Italian city states and the Peace of Westphalia.
Let's not kid ourselves that kuna nchi inayo exist na kutambulika kimataifa ambayo imeepuka mfumokristo.
Hata kufuata human rights framework iliyopo sasa tu ni kufuata mfumokristo.
Ndiyo maana unasikia Wasaudi wakichinja watu ki sharia sharia wanatuhumiwa kutofuata human rights.
By the way, mungu in the commonly accepted Tanzanian context (Muslim, Christian, traditional) is one big hoax.
Politicians just like to use the idea as a pacifier and lazy escape route.
Kubwabwaja na kuhororoja bila mpango, soma mada.
Mada inahusiana na serikali kuwa na dini, mimi nimeongelea hadaa ya serikali yoyote iliyo katika mfumo wa mataifa huu wa leo wenye misingi ya kidini, specifically kikristo, kutoweza kuwa ya kidini.
Nabwabwaja kivipi?
Kati yangu niliyeangalia mzizi wa suala na wewe usiyeweza kuona matawi kutoka shina, nani anabwabwaja?