Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

huo wimbo umedadavuliwa toka afrika kusini hivyo usipande sana ukadhani ni wimbo wa tanzania

nyimbo za tanzania si unaona wanajeshi wakiizimba
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
 
MUNGU wa msalabani alyekapigwa na viumbe vyake kisha wakamvesha kinepi msalabani. na kumuacha ajiokoe mwenyewe badae MUNGU akafa msalaban bila msaada wowote afu ulimwengu uLIbaki bila MUNGu. inasemekana alikufa kwa aijili ya dhambi za wanadamu,kwa mfano MAKANISA mengi ulaya ni YA MASHOGA bi mana hawapati dhambi coz kuna KIMUNGU MTU kilikufa kwa ajili yao,UZINZI kwao kawaida na ndo mana umalaya,ushoga makanisani rukusa coz hiyo ya mvaa kinep msalaban amekufa kwaajili ya USHOGA.
 
MUNGU wa msalabani alyekapigwa na viumbe vyake kisha wakamvesha kinepi msalabani. na kumuacha ajiokoe mwenyewe badae MUNGU akafa msalaban bila msaada wowote afu ulimwengu uLIbaki bila MUNGu. inasemekana alikufa kwa aijili ya dhambi za wanadamu,kwa mfano MAKANISA mengi ulaya ni YA MASHOGA bi mana hawapati dhambi coz kuna KIMUNGU MTU kilikufa kwa ajili yao,UZINZI kwao kawaida na ndo mana umalaya,ushoga makanisani rukusa coz hiyo ya mvaa kinep msalaban amekufa kwaajili ya USHOGA.

, Quran 48: 29 .
wengine kashfa ni sehemu ya ibada. Sio kosa lako, ni la mungu wako, aliyemkosea shetani
 
Ni kweli kabisa kuwa serikali haina dini,lakini yeyote yule anayeimba wimbo huo ana dini/imani ya uwepo wa nguvu ya ziada na si lazima imani hiyo/hizo zifanane au kushabiana.
 
Huo wimbo unapatikana katika kitabu kinachoitwa (katekisimu).Ni cha Roman cathoric.So mpaka hapo unaweza kutambua serikali imebase ktk dini gani!!!
 
Mungu ni wa dini zote na kila imani so tupo sahihi kulitaja jina la Mungu ila ungesikia Yesu au Mtume MSW hapo tungeliona tatizo
 
Dini zenye mlengo wa chuki hujionyesha kwenye masuala kama haya....kwa hali ilivyo sasa hakuna mtu asiye jua malengo ya hizi dini hususani zile zilizojaa chuki,ukatili, roho mbaya, kuuwa watu na kila aina ya upumbavu,i hate the so called religion hasa hii dini ya chinja chinja!
 
Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?
Tunasema Serikali ya Tanzania haina dini lakini watu wake wana dini. Vipi hii.?
Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?
 
Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?


Tunasema Serikali ya tanzania haina dini lakini watuwake wana dini. Vipi hii.?

Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?

Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
 
Serikali haina dini wala kabila wala jinsia.Mtu yeyote anayetaka uongozi utolewe kidini,kikabila au kijinsia anachemka.Serikali ya Tanzania sio serikali ya shirikisho ya vyama vya kidini ,kikabila au kijinsia kuwa kila chama kipate mwakilishi wao humo!!!!

Tanzania waislamu wengi wako kimkoa wako mikoa mitano tu dar es salaam ,Pwani,tanga,lindi na Mtwara.Huko kwingine mikoa mingine kimkoa wengi wanakuwa ni wakristo na wapagani.

Lakini kuwaita wengi ni waislamu kwenye mikoa niliyoitaja ni kuwaonea pia sababu waislamu wa mikoa hiyo hula nguruwe pori na kunywa pombe kuanzia mnazi,gongo pombe za kisasa nk wengi ni mashahidi kwenye hili watu tunaishi nao mitaani tunawajua.

Ukisema mtu achague mwislamu mtu utakuwa unamaanishi nini? Yeye ni Mungu aangalie mwislamu kweli ni yupi na feki ni yupi?

serikali ya Tanzania si msikiti au kanisa unaotafuta maimamu au mapadri wa kusalisha serikalini maofisini.Hivyo anayetafutwa na kuteuliwa haangaliwi ni swala tano au huwa hasali anatafutwa mchapa kazi.

Wale mliozoea kupewa vyeo kwa sababu ya sigida iliyoko usoni ya kuswali Sana swala tano au kuvaa Rozali au tasbihi ndefu shingoni au mkononi ,au misalaba mingi uliyovaa shingoni hakukufanyi iwe sifa ya kuteuliwa na serikali kwenye awamu ya HAPA KAZI TU.Nenda kawaombe wakupe vyeo misikitini au makanisani.

HAPA KAZI TU sio nani dini gani.Unapotafuta mtu wa kuzoa takataka au kutapisha choo hutafuti dini gani
 
Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!

Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
 
Hivi wakati ule JK alivyomteua Assad mbona watu walibweka udini humu, kwa nini hawakuangalia kwamba naye ni mtanzania na ana vigezo?.

Halafu Watu wenye ujuzi, uzalendo na vigezo wanapatikana katika dini zote, kwa nini kila teuzi Waislamu wawe wa kuokotezaokoteza?.

Sidhani kuwa hii ni bahati mbaya, bali ni mfumo unaojengwa au uliojengwa kiudiniudini!
 
Weka takwimu hapa waislamu wenye MASTERS ZA ELECTRICAL ENGINEERING TANESCO WAISLAMU WAKO WANGAPI NA WAKRISTO WAKO WANGAPI.weka hapa.

Ulitaka karani wa masjala asiye na digrii ya umeme apewe kuwa injinia mkuu wa mkoa kwa sababu yeye ni dini fulani tu na huwa anaswali swala tano?
Naona unazidi kuendekeza unafiki wako, Kwann akiteuliwa Muislam inakuwa issue sana na kila mtu ataimba udini, akiteuliwa mkristo mnalazimisha watu wanyamaze...

Serikali Haina dini ila ratio ya 90% kwa 10% kwenye uteuzi is merely unacceptable.
 
Back
Top Bottom