Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
Tafadhari jibu swali kama lilivyoulizwa, acha mbwembwe. JF we dare to talk openly
Hata kama nitakuambia jina kwani unafikiri utamfahamu.??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhari jibu swali kama lilivyoulizwa, acha mbwembwe. JF we dare to talk openly
Hata kama nitakuambia jina kwani unafikiri utamfahamu.??
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
MUNGU wa msalabani alyekapigwa na viumbe vyake kisha wakamvesha kinepi msalabani. na kumuacha ajiokoe mwenyewe badae MUNGU akafa msalaban bila msaada wowote afu ulimwengu uLIbaki bila MUNGu. inasemekana alikufa kwa aijili ya dhambi za wanadamu,kwa mfano MAKANISA mengi ulaya ni YA MASHOGA bi mana hawapati dhambi coz kuna KIMUNGU MTU kilikufa kwa ajili yao,UZINZI kwao kawaida na ndo mana umalaya,ushoga makanisani rukusa coz hiyo ya mvaa kinep msalaban amekufa kwaajili ya USHOGA.
Selikali haina din bali in IMANIIf you hate God, find somewhere else to go. As long as you are in Tanzania there is God.
I see, nice to know thatSelikali haina din bali in IMANI
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?Tanzania Government is of Neutrality Is not "Anti-Religion" is this true?
Tunasema Serikali ya tanzania haina dini lakini watuwake wana dini. Vipi hii.?
Ikiwa serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu. Is this true and how far is true?
Naona unazidi kuendekeza unafiki wako, Kwann akiteuliwa Muislam inakuwa issue sana na kila mtu ataimba udini, akiteuliwa mkristo mnalazimisha watu wanyamaze...Weka takwimu hapa waislamu wenye MASTERS ZA ELECTRICAL ENGINEERING TANESCO WAISLAMU WAKO WANGAPI NA WAKRISTO WAKO WANGAPI.weka hapa.
Ulitaka karani wa masjala asiye na digrii ya umeme apewe kuwa injinia mkuu wa mkoa kwa sababu yeye ni dini fulani tu na huwa anaswali swala tano?