Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unazidi kuendekeza unafiki wako, Kwann akiteuliwa Muislam inakuwa issue sana na kila mtu ataimba udini, akiteuliwa mkristo mnalazimisha watu wanyamaze...
Serikali Haina dini ila ratio ya 90% kwa 10% kwenye uteuzi is merely unacceptable.
Hivi dini ndo inayofanya kazi au utendaji wa mtu. Hoja ya udini sijui nini haina mashiko kabisa
Ttatizo mnapenda kubebwa bebwa,Tatizo ni unafiki wa wala NGURUWE, wakati wa jk mbona matamko yalikuwa mengi sana sahv kimya
Uzalendo, Elimu, Uchapakazi, Weledi havipatikani kwa watu wa dini moja.
Sema Uzalendo, Elimu, Uchapakazi, Weledi unapatikana kwa watu.Weka nukta hapo usiongeze neno wa dini zote kuna wasio na dini pia usiwanyanyapae.Wanatakiwa watu wazalendo,weledi,wenye elimu na wachapakazi.Full stop pasiongezwe kitu nyuma ya hayo.
Ndo tatizo LA viongozi wa Africa kila raisi huvutia kwake akipata uongozi. Hizo ndo favouratism na nepotism haishangazi hata ku complain mana jk naye aliwabeba sana watu wake mfano Chuo cha Udom udini ulivotamalakiTatizo linakuja pale pattern ya uteuzi inavyokuwa inafanana na kujirudiarudia, inafanya watu tujiulize maswali mengi sana. Umesahau Edwin Mtei alivyodai JK kateua waislamu wengi kwenye bunge la katiba. The same Logic inatumika sasa kuuliza hizi teuzi kulikoni?
akiteuliwa Muislam inakuwa issue sana na kila mtu ataimba udini.