Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?

Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba sio maneno ya wimbo wa taifa. Katiba haioneshi kuwa ni nchi inayoongozwa kidini.
 
wanamaanisha serikali ya Tanzania haiegemei upande wa dini yoyote, kuna mataifa kama Saudi Arabia, Iran n.k wao serikali inafuata mafundisho ya kiislam
Na wewe unaamini katika hili kwa tanzania wakat wimbo wa taifa toni yake ni ya kanisa. Tafakar ndugu.
 
Ni lini umebadili dini? Leo baada ya hii post? Acha unafiki. Upo dini ya kinafik sema ukwel tu.mi sijui vigezo vilivyotumika kuteua hao wakuu wa mikoa na sijui kama hasan au john ni muislam au mkristo kutokana na majina yao


Kwa hiyo haina dini halafu wakuu wa mikoa wanakuwa waislamu sita na wakristo zaidi ya ishirini. Sasa hao wakristo wamepataje uteuzi kama serikali haina dini na nafasi hazikutangazwa popote!!!

Huu udini wa Magufuli utaligawa taifa na kuvuruga umoja wa kitaifa. Toka ameanza kufanya teuzi jicho lake limeona asilimia 85 wakristo na asilimia 15 waislam. Sasa hawa wakristo wakianza kutumia vibaya madaraka na kuweka wakristo wenzao kama ilivyo Tanesco tutafika? Mimi ni mkristo ila sipendi hiyo hali
 
Kama mtu anategemea kuwa atapewa cheo kwa sababu ni dini fulani ajiandae kuumia.Karne hii tunakoelekea hataweza ku fit popote iwe ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania.Hii dunia ni ya wachapa kazi.Ndio maana hata Magufuli aliweza kupita.Uchapakazi ndio kitambulisho kilichompa kazi.

Wale wanaotegemea uzuri wa sura(UMALAYA),UKabila,au udini watafutika kwenye faili la ajira na uteuzi FOREVER.

Ni wajibu wa dini zote kuanza kuwajenga watu wao kuwa kigezo cha wao kufika mbali ni kusoma sana na kuchapa kazi sana.Porojo za kuwajenga kuwa udini ni sifa ya wao kupewa uteuzi au ajira ni kuwapotezea muda na kuwaharibu tu waumini wao
miaka 5 sio mingi. muambie aendelee kuteua viongozi wa vigango badala ya viongozi wa kitaifa. tulipigana sana kuhakikisha huyo jamaa anapita kuanzia mitaani mpaka mitandaoni. tambua hilo.
 
Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba sio maneno ya wimbo wa taifa. Katiba haioneshi kuwa ni nchi inayoongozwa kidini.
Wimbo wa taifa ni alama ya taifa, hivyo huwezi kuu dismiss kirahisi hivyo.

Kwa nini kuwe na tofauti kati ya katiba na wimbo wataifa?
 
Sema Uzalendo, Elimu, Uchapakazi, Weledi unapatikana kwa watu.Weka nukta hapo usiongeze neno wa dini zote kuna wasio na dini pia usiwanyanyapae.Wanatakiwa watu wazalendo,weledi,wenye elimu na wachapakazi.Full stop pasiongezwe kitu nyuma ya hayo.
hatujasahau pale Kikwete alipomteua Prof. Asad jinsi mlivyomsakama hapa kwa ajili ya dini yake tu. leo hii mnakuja na huu na ungese wetu. tena bila aibu. naona na ile comment pale pg1 umeifuta baada ya kuona aibu ya ulichokiandika.
 
Nchi hii imekua maskin sababu ya dayosisi na parokia zilizojaa huko maofisin

Hakuna cha maana wanachofanya zaid ya wizi tuuh

Escrow mlitumia kanisa had maaskofu kuiba pesa za umma
JK ccm mwenzenu alisema sio za um a we we unapata wapi jeuri ya kumpinga muumini mwenzako!?
 
Waislam siku zote tangu nipate akili nawasikia wakilalamikia udini na kukandamizwa hata bakwata wanasema iko ndani ya mfumo kristo. Juzi tu majambazi wa mbagala wamekamatwa kuona majina wanalalamika! Hivi jambazi naye ni muislam? Very confusing...!
 
Magufuli ni mkiristo mkatoliki.
Wanao mwongoza ni kardinali pengo na mh. Mkapa. Wote ni wadini wakatoliki.

Waislam wataipata .

Hii eti Tanzania haina haina dini ni njia tu ya kuwakandamiza waislam.
 
Serikali haina dini wala kabila wala jinsia.Mtu yeyote anayetaka uongozi utolewe kidini,kikabila au kijinsia anachemka.Serikali ya Tanzania sio serikali ya shirikisho ya vyama vya kidini ,kikabila au kijinsia kuwa kila chama kipate mwakilishi wao humo!!!!

Tanzania waislamu wengi wako kimkoa wako mikoa mitano tu dar es salaam ,Pwani,tanga,lindi na Mtwara.Huko kwingine mikoa mingine kimkoa wengi wanakuwa ni wakristo na wapagani.

Lakini kuwaita wengi ni waislamu kwenye mikoa niliyoitaja ni kuwaonea pia sababu waislamu wa mikoa hiyo hula nguruwe pori na kunywa pombe kuanzia mnazi,gongo pombe za kisasa nk wengi ni mashahidi kwenye hili watu tunaishi nao mitaani tunawajua.

Ukisema mtu achague mwislamu mtu utakuwa unamaanishi nini? Yeye ni Mungu aangalie mwislamu kweli ni yupi na feki ni yupi?

serikali ya Tanzania si msikiti au kanisa unaotafuta maimamu au mapadri wa kusalisha serikalini maofisini.Hivyo anayetafutwa na kuteuliwa haangaliwi ni swala tano au huwa hasali anatafutwa mchapa kazi.

Wale mliozoea kupewa vyeo kwa sababu ya sigida iliyoko usoni ya kuswali Sana swala tano au kuvaa Rozali au tasbihi ndefu shingoni au mkononi ,au misalaba mingi uliyovaa shingoni hakukufanyi iwe sifa ya kuteuliwa na serikali kwenye awamu ya HAPA KAZI TU.Nenda kawaombe wakupe vyeo misikitini au makanisani.

HAPA KAZI TU sio nani dini gani.Unapotafuta mtu wa kuzoa takataka au kutapisha choo hutafuti dini gani
Duh, sasa unatusemea kweli humu. Hata kama tunakula hao nguruwe poli jamani ni menu ya kawaida halafu hawana harufu kari kama hao wanaofugwa na makafirri.
 
Naona unazidi kuendekeza unafiki wako, Kwann akiteuliwa Muislam inakuwa issue sana na kila mtu ataimba udini, akiteuliwa mkristo mnalazimisha watu wanyamaze...

Serikali Haina dini ila ratio ya 90% kwa 10% kwenye uteuzi is merely unacceptable.
Waislam wengi hamjasoma, labda ya ajila za kufundisha madrasa na ugaidi
 
wanamaanisha serikali ya Tanzania haiegemei upande wa dini yoyote, kuna mataifa kama Saudi Arabia, Iran n.k wao serikali inafuata mafundisho ya kiislam
nikatika kuupumbaza tu upande fulani uamini hivo ila ni ukweli usio na chembe ya shaka serikali ya tanzania inayo dini na inaegemea ukiristo
 
Binafsi nilikua nampenda mh Magufuli sana na ni mmoja kati ya watu walompa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya kidini lakini wananchi wake wanadini, lakini kwa hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kuuliza kuna nini hapa na nchi hasa waislam kuna agenda gani?

Kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10!

Mhe mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kuteua viongozi, mlishatuambia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi nina imani serikali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekali, hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote, tuliishia kusoma madrasa!

Inaniuma sana japo mi ni katika watu wanaokukubali. Hebu angalia watumishi wako wa serikali ambao umetumbua majipu, %95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa..

Chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia..
 
vigezo sio dini ndio maana hampo... ingekua dini hapo sawa
 
Huu sio wakati wenu mbona naye kikwete alifanya hivyo hivyo kuwaweka waislam wenzake hiyo inaitwa 50 kwa 50.
 
Waislam wengi hamjasoma, labda ya ajila za kufundisha madrasa na ugaidi
Na yule dr dau ambaye mnakosa wa kuvaa viatu vyake nssf vipi?
Je CAG pro asad. Prof njozi. Sheikh Ponda. Mkuu wa Udom ni wa.ga.la ?

Acha kutukandamiza.
 
Back
Top Bottom