Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
no.. be specific. imejaa ukatolikiawamu hii ya magufuli imejaa udini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no.. be specific. imejaa ukatolikiawamu hii ya magufuli imejaa udini
kwanini na nyie udini wenu msiupeleke vaticanKwahiyo SAMIA SULUHU NA MAJALIWA ni wakristu.,, nyie watu sijui mnataka nini...yn shida yenu mchaguliwe ht km hamna sifa....udin wenu peleken Afghanistan huko. ..
Hizo takwimu za kusema waisilamu nchi hii wapo zaidi ya 65% ndizo zinazowadanganya. Mwaka 2012, shirika la habari la taifa lilifichua siri ya muda mrefu na kutangaza kuwa Tanzania kuna waisilamu 32%, wakristu 52%, wasio na dini 14% na dini nyingine asilimia iliyobaki. Kuhusu kuumia, hapo hakuna namna kwani tulimpenda wenyewe, tukamchagua wenyewe, tukawapuuzia wengine. JPM endelea kuteua tu bila kuzingatia dini ya mtu, hata BAKWATA wateulie mgalatia... hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote...waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Kwani dini ni wakristo na waislamu tu? Je, na wale wanaoabudu miungu mingine nao waanze kuhoji juu ya teuzi za mh raisi? Hizo dini zenu kaeni nazo huko, sisi tunachotaka ni huduma bora za kijamii kwa wananchi basi.Hukuzoea kwa sababu hamjaguswa na udini toka uhuru wa nchii hili tatizo lipo ni uvumilivu tu wa waislam ndio umetufikisha hapa
PUMBAVU NCHI IKO HOI WEWE UNAONGEA PUMBA ZA DINI TOKA NENDA ZAKO HUJUI KITU WEWE KAA KIMYA.Binafsi nilikua nampenda mh magifuli sana na ni mmoja kati ya watu walo mpa kura yangu ila kwa haya ni wajibu kuyasema mh hii nchi sio ya ki dini lakini wananchi wake wanadini lakini kwa
Hizi teuzi zinazofanya na rais wangu mpendwa naweka alama ya kiuuliza kuna nn hapa na nchii hasa waislam kuna agenda gani kali kuliko zote ni hizi teuz za wakuu wa mikoa sijui ni vigezo vp vimetumika ila nachoona ni ndugu zangu waislam 8 wametupwa nje na nikiangalia wakuu wote wa mikoa wapya na wazamani walo baki hawazidi asilimia 10 mh mimi ni raia wa kawaida kabisa lakini sina imani kwa sasa unatumia vigezo gani kiteua viongoz mlisha tuinbia sana waislam hatuna elimu lakini sio kweli mi naiman serekali yako nzima haizidi watu 5000 ambao ni watumishi wa serekal hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote tuliishia kusoma madrasa inaniuma sana japo mi ni katika watu wanao kukubali hebu anagalia watumishi wako wa serekali ambao umetumbua majipu%95 ni hao hao unaowapa nafac na ndio wametufikisha hapa muheshimiwa chonde chonde angalia na upande wa pili waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Hatuwezi kukubali dini au udini kufungamana na matakwa ya serikali na ningeiomba serikali iitazame sheria juu ya watu wanao anzisha chokochoko za udiniudini, iwe ni mkiristo, muislamu au mpagani wote wachukuliwe hatua za kisheria kwani malengo yao si mazuri juu ya hatima ya hii nchi, wanalenga kutugawa na kupandikiza chuki ktk jamii.Ilikua haizidi hata%35 lakini muheshimiwa rais wangu magufuli ndio hataki kabisaaa kuona sura za waislam katika utawala wake mi sion hata sababu ya kiwatema wakuu wote wa mikoa tena 8 basi kama ameona hawafai kwa nn usiweke japo uiano kidogo mbona mnatumia nguvu nyingi sana kihusu uiano wa kijinsia tumieni nguvu hizo hizo uiano wa kidini
Hizo takwimu za kusema waisilamu nchi hii wapo zaidi ya 65% ndizo zinazowadanganya. Mwaka 2012, shirika la habari la taifa lilifichua siri ya muda mrefu na kutangaza kuwa Tanzania kuna waisilamu 32%, wakristu 52%, wasio na dini 14% na dini nyingine asilimia iliyobaki. Kuhusu kuumia, hapo hakuna namna kwani tulimpenda wenyewe, tukamchagua wenyewe, tukawapuuzia wengine. JPM endelea kuteua tu bila kuzingatia dini ya mtu, hata BAKWATA wateulie mgalatia... hakuna waislam wenye vigezo kweli vya elimu wakati tupo zaid ya %65 ya watanzania wote...waislam tunakuangalia tu usianzishe mgogoro na waislam hii nchi yetu sote tunaumia
Waislam awamu hii ni awamu ya mtihani mkubwa sana, tujue tu uislam tangu siku ya mwanzo ni dini yenye kupigwa vita, kama mtume saw alivyosema itafika wakati uislam utakuwa kama kaa la moto ni either uivumilie imani kwa subra ukitaraja malipo yako jannah au uitupe imani uwaridhishe waliokufuru, chaguo ni lako!so anachofanya magufuli ni muendelezo ule ule, tukumbuke tumeletwa duniani ili tufanyiwe majaribu, mitihani! Naombeni tuyakumbuke haya
Kwan lengo la serikali ni kutufundisha quran au biblia? Quran kuna misikiti biblia kuna makanisa period.
Serikali ni kututumikia wananchi.
Sasa dini ya nn?
Mkuu tatizo ni uwezo wa kufikiri au ni kujitoa ufahamu? Hivi hilo taifa litajengwa vipi kama kuna sehemu ya jamii inahisi imetengwa hata kama wewe unaona sio kweli? Kutakuwa na maendeleo kweli kama 50% wanafanya kazi na wengine 50% wananung'unika? Hata kule Sudan kabla Sudani ya kusini hawajajitenga walikuwa wanatoa hoja kama hizi kuwa kazi zinatolewa kuangalia weledi na ujuzi, ni wapi wamefika? Unataka na sisi tufike huko.Halafu hawa watu siijui wapoje,kila utawala unapobadirika wanaanzisha hoja za kijinga kama hii safari hii hatudanganyiki tunasonga mbele kujenga Taifa la Tanzania sio la Kikristo/wala Islam
Katiba haimlazimishi raisi kufuata ushauri wa mtu yeyote.Mbona hausemi waziri mkuu na makaumu wa rais ni waislam?ambao ndio washauri wakuu wa rais katika kuteua nafasi mbali mbali?
Pamoja na sheria, taratibu na kanuni za serikali watu wengi duniani hufanya kazi kulingana na utamaduni na mazingira waliyolelewa na ndiyo maana ukienda Marekani kule maofisini unakuta watu wanafanya tafrija zinazoendana na utamaduni wao kama "halloween". Vivyo hivyo japokuwa watu wanapaswa kufanya kazi kulingana na sheria, taratibu na kanuni kwa Tanzania ila hawako hivyo kwa sababu ni binadamu na binadamu huishi kulingana na alivyolelewa na kukuzwa. Unapokuwa na jamii yenye makundi mbalimbali na ikatokea una kundi moja tu linaendesha serikali ni rahisi sana kwa mahitaji ya watu wa makundi mengine kusahaulika. Na ndiyo maana kuna kelele za kuongeza uwiano wa wanawake katika nafasi za uongozi kwa sababu hiyohiyo kuwa kunapokuwa na wanaume wengi kila mahali ni rahisi kwa mahitaji ya wanawake kusahaulika.nikuulize mtoa mada. watu wanafanya kazi kwa kufuata dini au taaluma zao walizosomea ?ulishawahi hata siku moja waziri au mkuu wa mkoa anafanya kazi kwa ku refer bible au Quran . embu tufafanulie una maana gani kwa tamko lako hili. vinginevyo na wewe utakuwa kati ya wale malofa na wapumbaf
Wenzenubwalivyoanzisha seminary nyie mlimomaa na madrasa.. Nani alaumiwe?Huo ni uongo hata kikwete alijitahidi tu kufanya hivyo huu ni mfumo cristo toka enzi za nyerere na wala sio 50 50
Asante kwa kump nondo na data..Eti 65% ya Watanzania wamesoma Madrasa? Yaani Waislamu? Usintanie mleta mada, Waislamu Tanzania ni 30% Wakristo ni 62% walobaki wengine wakiwemo Hindu, Buda na Pagan, hupendi tafuta ndimu.