Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Tanzania ina siri kubwa sana na kuzuga watu miaka nenda miaka rudi, Mungu aliyekusudiwa pale ni Yesu, kwani hata CCM kirefu chake ni Christian Chirch Movement, mfano mwengine mzuri ni Lukuvi alipoenda makanisani kusema mfumo wa serikali 3 usikubalike, maana yake ya ndani ni kwamba Kanisa ndio linalotoa dira na mwelekeo wa nchi ya Tanzania.

Dini ya serikali ya Tanzania ni ukiristo, na Mungu wao ni Yesu. swali la kujiuliza jengine ni mkiristo yupi amepelekwa jela, au rumande bila ya kosa linaloeleweka tokea kuwepo Tz? ni waislamu tu ndio wanateswa na kudharauliwa. Dini yao ni ukiristu hata JK ambaye ni muislamu jina aliwahi kwenda makanisani na kubusu zile katuni sanamu za makanisani. Tumo ndani ya mfumo kiiristo hatujitambui tu.
 
Wacha porojo wewe, umejidai hapo juu kuweka reference number ya aya, nimekuletea hiyo aya imekukushushuwa.

Sijui nani kakudanganya na kukujaza ujinga sasa eti unataka kuniletea Muislam mwenzangu, mlete.

Na mimi nakupa link, nenda kaisome Qur'an tena imetafsiriwa Kiswahili, ha;afu urudi tena hapa, usitake kudanganya watu kuweka manamba yasiyokuwa na mpango unapoletewa aya, huna la kujibu, kama hujui sema tu hujui, uliza yukupe darsa, usihororoje hovyo hovyo.

Hii hapa link, kajisomee: Qur'ani Tukufu

kitabu cha majini.
 
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".

Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.

Msome Sivalon anachambuwa hilo.

Unafik mtupu.
Kwahiyo ingekuwa wewe ungejaza wakristo/wagalatia ili kuonyesha kwamba muislam wewe hauna upendeleo?
 
Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti. Unaweza kumuamini Mungu bila kuwa na dini na unaweza kuwa na dini na usimuamini MUNGU. Serikali imesema haina dini haijasema haina/haimuabudu Mungu!

Umeropoka mkuu, sasa kama una dini bila kumuamini mungu au umemuamini mungu bila kuwa na dini imewahi kuanzishwa wapi hiyo system ulimwenguni?
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
kwani wewe unamjua mungu yupi? acha kuzingua bana..
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Acha ulimbukeni wewe. Embu niambie Mungu ni dini gani??!!
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Ni kweli serikali ya Tanzania haina dini, waTanzania wana dini zao; wanaoimba wimbo wa Taifa ni waTanzania siyo serikali hivyo Mungu anayetajwa katika wimbo huo ni yule aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, hii ni pamoja na ardhi yote ya Tanzania na anga lake lote na wote wanaoishi ndani ya Tanzania.

Pale bungeni kabla ya kuanza bunge kuna dua kwa Mungu yule yule hapo juu, wanaoomba dua ni waTanzania wenye dini zao siyo serikali wala bunge. Pale mahakamani kabla ya kutoa ushahidi kuna takwa la kuapa kwa Mungu, hii ni kwa sababu waTanzania wana dini zao, si serikai, bunge wala mahakama inayoapa.

Conclusion: Ni kweli serikali ya Tanzania haina dini lakini waTanzania wana dini zao, usipate taabu Mkuu.
 
Kusema Serikali haina
dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".

Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku
anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.

Msome Sivalon anachambuwa hilo.

Unafik mtupu.

Ujinga mtupu. Dini unayoiamini huijui zaidi ya kuiamini tu.

Badilika na acha utumwa wa kukumbatia tamaduni za waarabu.
 
Kusema Serikali haina dini ni kutokujuwa maana ya neno "dini".

Hilo lililetwa na Nyerere, huku anahubiri serikali haina dini, huku anawajaza Wagalatia wenzake kila sehemu na kuwapa kipaumbele cha elimu.

Msome Sivalon anachambuwa hilo.

Unafik mtupu.

nakupendea hpo 2 dadaangu,fungukaaa
 
Kwa hiyo mwimbo ubadilishwe isemwe "MIUNGU Ibariki" maana kila mtu ana dini na Mungu wake na wapo wenye Miungu zaidi ya mmoja.
 
Naona darsa limekuingia na huna zaidi.

Sasa wewe kwanini unabandika manamba tu, hubandiki aya yenyewe na reference ya wapi pa kuzipata hizo aya nimekupa.

Huyo msikilize wewe halafu uje na maswali yako, mambo ya Ujerumani na Waturuki hapa yanahusu nini?

Kitu hiki hapa jamani:

Sahih International

You are the best nation produced [as an example] for mankind. You enjoin what is right and forbid what is wrong and believe in Allah . If only the People of the Scripture had believed, it would have been better for them. Among them are believers, but most of them are defiantly disobedient.

Swahili

Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.
Kwani wewe Mungu unayemzungumzia ni dini gani? Kwa ujumla Mungu yeye habagui na wote tu wa Kwake. Dini au dhehebu ni mpango wa binadamu kwenda kwa Mungu ndiyo maana hata wewe leo waweza kuanzisha dini/dhehebu na kukusanya waamini kuwa wakiamini unayowaambia wataenda kwa Mungu siku ya mwisho.

Hivyo serikali inaposema haina dini ni kuwa haiamini katika mpango wowote wa kibinadamu kwenda mbinguni na si kwamba haiamini uwepo wa Mungu.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Mungu na dini ni vitu viwili tofauti; iwapo Mungu ndiye angekuwa dini basi tusingekuwa na dini nyingi vile, kwa hiyo wimbo wa taifa unapotaja Mungu huwa hauzungumziii dini yoyote.

Serikali ya Tanzania haina dini lakini inaamini kuwa raia wake wana dini zao, ndiyo maana inapowaapisha watu wake hutumia misaafu ya dini zao. Kuhesimu dini ya mwenzako haina maana kuwa na wewe unafuata dini hiyo.
 
Serikali ya Tanzania haina dini, tunapoimba wimbo wa taifa tunamtaja Mungu yupi? Inanipa shida sana kuelewa kwenye hii issue. Tafadhari kama kuna mtu anaelewa the reason behind.

Asikudanganye mtu,serikali ya CCM inayodini.Dini hiyo inayowauynganisha watz kupitia torch (mwenge) chimbuko lake ni Bagamoyo, unakuwa-initiated kila mwaka juu ya makaburi ya kina Burito huko Butima..
 
Back
Top Bottom