Kama sex ingekuwa sababu ya ndoa...

Kama sex ingekuwa sababu ya ndoa...

Si unajua kile kiduka chake cha m-pesa?,, basi natumia lain yake ya m-pesa,,, siwezi kuigawa hata kwa ndugu nalinda kimtaji chake kisipotee
hv kumbe kile kiduka bado kipo??

mimi nilimwambiaga tangu siku nyingi akomae na hiyo biashara naona sasa hv Mungu amemsaidia kitakuwa kimekua kua.

ni jambo la kheri sana,

kama vp nipee hata namba ya rafiki yako yule binti MPAPAI ilimradi tu niongee na wewe.

hv na yeye alishaolewa??
 
Back
Top Bottom