Kapitie mechi za simba utaona hili unalosema kuwa hata simba inawahusu. Simba wakcheza faulo refa anapeta ila wakicheza timu pinzani ni faulo. Penati mmpewege nyie tu akipewa yanga kabebwa. Mtu kasukuma ili mtu asipige krosi wala hasiingie ndani ya sita
Hivi utaahira mtaacha lini ninyi ng'ombe? Yanga kabebwa kwenye tukio gani Jana? Hivi lile goli la Makambo wangefunga mbumbumbu au Biashara likakataliwa si ungevaa boxer kichwani wewe taahira? Simba ina mashabiki viazi mbatata sana aisee
Simba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.
Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.
Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.
Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
Na goli la Mayele kwenye mechi ya Geita vipi hukuliona?Msimu uliopita Simba imekataliwa magoli mengi tu.
Mojawapo ni goli la Onyango dhidi ya Gwambina na hakuna malalamiko makubwa yalitolewa.
Siku Yanga inacheza na Geita msimu huu, Geita walinyimwa penati ya wazi kabisa ambayo ilifanana kimiondoko kama penati ya Yanga dhidi ya Biashara.
Mshambuliaji wa Geita aliingia kwenye Box kama Moloko, akablokiwa kwa mieleka ya mikono pamoja na miguu akadondoka na kudondokewa na Beki juu yake.
Hakuna Penati.
Ileweke Basi hizo timu Kubwa mnazoziona kama zinajua mpira kumbe asilimia kubwa zinategemea kubebwa na Waamuzi au Zinawanunua Waamuzi.
Kwahiyo goli la yanga lilikataliwa kwasababu ya kuua move?Ameua move za biashara wakati wapo kwenye nafasi ya kupata bao.Hili lilifanywa maksudi.Hii ndiyo michongo
Na la Yusuph Athuman pia dhidi ya hao hao GeitaNa goli la Mayele kwenye mechi ya Geita vipi hukuliona?
Sare ya 1 kwa 1 kivipi? Kwahiyo Moloko ule mkono aliosukumwa sio faulo? Kama kusukumwa sio.faulo basi hata ya Geita wapewe goli lao kwenye mechi dhdi ya Simba. Mbona goli la makambo unalitoa wakati kwenye marudio inaonesha kabisa hakuna mgusano wowote kati ya makambo na kipa. Na pia kipa hakuukamata mpira. Acheni ushabiki na chuki za kitimu.Ila ile mechi na Namungo jamaa walikufa kifo halali, mwamuzi bila aibu anatoa penalty yenye utata(tuseme ya uongo) ili kuwaokoa jamaa ambao siku ile walikufa kabsa 1-0.
Na hii mechi ya biashara ilikua ni sare either ya 1-1 au 2-2 kama mwamuzi angekua mtu fair
ni marudio gani hayo unayo yasema mkuu, imerudiwa mara kadhaa na imeonekana live kuwa makambo aliupiga ule mpira ukiwa mikononi mwa kipa. Ebu acheni ushabiki wa kipuuzi kwenye ukweli semeni ukweli.Sare ya 1 kwa 1 kivipi? Kwahiyo Moloko ule mkono aliosukumwa sio faulo? Kama kusukumwa sio.faulo basi hata ya Geita wapewe goli lao kwenye mechi dhdi ya Simba. Mbona goli la makambo unalitoa wakati kwenye marudio inaonesha kabisa hakuna mgusano wowote kati ya makambo na kipa. Na pia kipa hakuukamata mpira. Acheni ushabiki na chuki za kitimu.
Nitajie penalty za simba za chini ya 75 minsYanga ikifika dakika 75 ya mchezo, kama wamefungwa au Sare ya Aina yoyote.
Basi tegemea penati muda wowote.
Kama kuna mtu anabisha basi aendelee kuangalia mechi zao.
Atakuja kunishukuru.
Mbumbumbu! Hahahaaa! Yule mzee mkorofi.Aden Rage alimaliza kazi
Kama tulivyowafuga nyie.Yule kocha Luc nae akashindilia zaidi " Mashabiki wa Yanga ni Manyani" Msukule ukamaliza ubishi kwa kusema "Usukuleni mwenye akili ni Sunday na JK tu" Mliobaki hamnazo . Mnafanana na wafuga mbwa tu. Siyo maneno yangu , niya Luc na Manara.
Ukiwemo na wewe.
Team Hakuna, Yanga Ni Genge La Wahuni Wachache
Naomba ukaangalie hiyo video halafu screenshot sehemu ambapo umeona mpira upo mikononi mwa kipa halafu weka hapani marudio gani hayo unayo yasema mkuu, imerudiwa mara kadhaa na imeonekana live kuwa makambo aliupiga ule mpira ukiwa mikononi mwa kipa. Ebu acheni ushabiki wa kipuuzi kwenye ukweli semeni ukweli.
nasubiri unaitajie penalty Simba iliapata chini ya 70 minsYanga ikifika dakika 75 ya mchezo, kama wamefungwa au Sare ya Aina yoyote.
Basi tegemea penati muda wowote.
Kama kuna mtu anabisha basi aendelee kuangalia mechi zao.
Atakuja kunishukuru.
Wakati wakiwa sare au wakati wamefungwa ?nasubiri unaitajie penalty Simba iliapata chini ya 70 mins
Unaongea upuuzi tu usio ujuaSimba walishtuka mapema ,huu udhamini wa GSM umehamishwa kwenye marefa,hii ni aibu kubwa.
Yanga hata kama mmepania ubingwa si kwa style hii,mpira umehamia kwa marefa.
Ndo maana Simba ikaona ni upuuzi mdhamini wa ligi anashangilia timu.
Hongereni mwaka huu marefa lazima wawe matajiri.
hujajibu ulichoulizwa. na leta takwimu ya penalty Kati ya hizi timu mbili huu msimu. Simba imepewa ngapi na Yanga ngapi?Wakati wakiwa sare au wakati wamefungwa ?
Wakati tukiwa sare hatukupewa penati dhidi ya coast union.
Tulimaliza suluhu.