Kapitie mechi za simba utaona hili unalosema kuwa hata simba inawahusu. Simba wakcheza faulo refa anapeta ila wakicheza timu pinzani ni faulo. Penati mmpewege nyie tu akipewa yanga kabebwa. Mtu kasukuma ili mtu asipige krosi wala hasiingie ndani ya sita
Jambo ambalo ni baya sana, hatutaki bingwa apatikane kwa kuunga unga, ni aibu kubwa. Hii haipaswi iwe kwa Simba au Yanga au Azam au kwa yeyote. Nimemsikiliza mdhamini Mbunge Mh Tarimba Abbas analalamika uchezeshaji wa kihuni hautusaidii kwa lolote