ThanksAsante, nakupenda Pia Melan
Nyuchi zipo nyingi online mama na uache kututisha
ππ kumbe upo na jezi nyingine kwanini lakiniπKwahiyo barter trade imerudi? πΉ
Hamna, mwache tu atoe ya rohoni aanze mwaka akiwa mpya mwili na nafsi...Ngoja nimsubili tuone atatumia style gani kulamba haya matapish yake
Jirani unakwamisha harakati za kadogoo πΉYaani we acha tu jirani. Me nliagiza zangu maji Mhudumu ameniletea yeye chupa ya batiπ€
ila ni maji ππ
Kwahiyo barter trade imerudi? [emoji81]
Kwa akili yako ilivyo kubwa lazima utakua ushaonja kidogo πYaani we acha tu jirani. Me nliagiza zangu maji Mhudumu ameniletea yeye chupa ya batiπ€
ila ni maji ππ
Hii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongoπππJirani unakwamisha harakati za kadogoo πΉ
Sio kosa langu lakini ni la mhudumuππKwa akili yako ilivyo kubwa lazima utakua ushaonja kidogo π
πΉπΉπΉππ kumbe upo na jezi nyingine kwanini lakiniπ
Quid pro quo.Ukianza kuniomba sex ujue na mimi nitakuomba hela.. maana wewe ndio mwenye upwiru
Acha uoga wewe πΉπΉHii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongoπππ
( soma haraka haraka nifute kabla hajaona π )
Hii 2024 inaonekana amekopwa sana,. Mwacheni ateme nyongo[emoji23][emoji23][emoji1]
( soma haraka haraka nifute kabla hajaona [emoji58] )
Hata siku ile ile, haina muongozo hata kidogo.Pesa si ndio nguvu mkuu
Mkuu wewe kuomba sex kwa mwanamke uliomtongoza baada ya muda gani kwenye mahusiano??
Naogopa mashambulizi yanaweza yakaja na vazi jingine nibaki nalia lia hapaπππAcha uoga wewe πΉπΉ
π€£π€£π€£π€£ tumtukane nani sasa?Safi sana shindikana , kumbe wewe ni mashirima kula pombe shindikana, ningekuwepo tungelewa tutukane humu tupigwe ban tuje na I'd mpya na mwaka mpyaπ€£π€£π π
Igweeeeeeeeeee πΉπΉHii ndio nzuri kama hawataki kuombanaombana kila mtu abaki na chake
Ona sasa umeshaona ( Ni utani tu mamie )πππ,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah wewe dada hebu nitue kumbe mnakopshaga na sijui