Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

Umeongea point kabsa ila ulivyoanza kuweka mapicha ya Chadema nkaona ni pumba tu umeandika

Chama dola sku moja kitatoka madalakan km tunavyotaka tulio weng ila kutaja vyama vya upinzani vya Tanzania ni kupoteza mda wako

Chadema , ACT CUF, nk hivyo vyote ni sehemu ya CCm maana yake hao ni CcM A,B
 
Mzee kuanguka kupo ila kwa kuwa bado anatafuta TEUZI lazima utetee na TEUZI HUTAPATA kwani hutoki Zile Koo zenye Tanzania yao
 
Kwani we Pascal unaamini vp? Kuhusu CCM, kwamba akiwezi kutoka au kitatawala milele mpaka Yesu arudi kama wao wenyewe wanavyoamini.

Someni hata history ya Dunia muone jinsi baadhi ya tawala kongwe na za kibabe zilivyoyeyuka bila wenyewe kutaraji, aijalishi njia gani wataondokea, but believe me, watake wasitake ipo siku isiyo na jina wala saa wataondoka tena kwa aibu.

Hiyo ni kanuni ya nature aipingiki, CCM ni Nani hapa duniani, kwanza mi naona ni viwango vya chini sana kujadili eti CCM itaondoka au la, tuwaachie wajinga ndio wajadili huu upuuzi lakini sio mtu wa kaliba yako Mayala, time will tell.
 
yaani umekosa kutumia mifano mingine,mpaka uihusishe club bingwa na siasa!?. utopolo yanga leo naona mmepata pa kusemea,semeni mtakavyo Ila ubingwa bado Sana nyny kuupata ,mtasbl Sana mpaka 2025
 
wasomi akina pascal mayala kuacha na kukoma kuwarubuni wananchi!
Kwanza mimi sio msomi!, pili mimi siwarubuni wananchi, ninachofanya ni kuwaeleza tuu ukweli mchungu kama huu
P
 
Msomi ni nani sasa??
Nitaamini hurubuni watu ukiacha vinasaba vyako na ccm.
Anayempenda adui ni adui!
 
Huwezi kutofautisha CCM na Yanga wala kulinganisha CCM na Simba. Yanga ni timu ya CCM na Simba ni timu ya wahindi.Hivyo mfano wako sio sawa.
 
Simba wamezingua sana wanaleta u father kwenye mambo muhimu.
Hatuna mshambuliaji wa kutegemea wote hawa kina Boko,Mugalu,Kagere ni tia maji tia maji,piga chini wote hawa leta vitu vya uhakika klabuni
Njoo kwa kina Nyoni,Sijui Wawa umri ushawatupa piga chini wote,
Wachezaji wapo klabuni ili mradi siku ziende.
 
Mkuu Pascal Mayalla; Salary Slip Yeye ametumia sanaa na ulinganifu wa anguko la Simba kueleza kuwa Siku 1 kama isivyokuwa imetegemewa sn Simba kufungwa mechi hiyo na yaliyotokea kwenye mechi, basi Siku 1 Chama tawala nacho kitapoteza kama hivyo. Sasa wewe unaposema hukubaliani naye unapaswa uwe wazi ni kipi hukubali? Je hukubali kuwa nchi hii siku 1 inaweza tawaliwa na chama nje ya kilichopo madarakani sasa? Kwamba unaamini hadi Kiama kinafika nchi hii daima milele itatawaliwa na CCM?
 
Nikweli hilo litatokea ila siyo chini ya mwaka 2099. Yaani bado miaka zaidi ya 80 kuja kutokea hilo. Mimi wewe na yule umuonae leo hatolishuhudia hilo
Hapo hata mtt wako bd aliyepo kiunonii nayee atakuwaa hayupo au atakuwepo ilaa mzeee tyr daaaa
 
Andiko sahihi kabisa kwa anaye jua fasihi atakupongeza Sana mkuu hongera kwa kuona mbali ipo siku na inakuja hataamini.
 
Pamoja na kutumika kwako na utabiri wako uchwala, haya sasa upinzani umekufa?
Msichokijua nyie walamba miguu na mapropagandist wa maccm eti upinzani ni chama, no Pascal upinzani ni spirit ipo, hata Magufuli alikuwa anatembea na wapinzani, yani walikuwa awakubaliani na mambo yake.vyama vya upinzani vikifutwa au vikafa upinzani unabaki moyoni mwa watu.

Sasa kwa taarifa yako hiyo kamati kuu yenu ya waovu ilibugi step, sasa kwa taarifa yako upinzani umeongezeka mara dufu sisi tupo huku site mpaka maccm yenyewe hayamkubali Mama na CCM yake.

Na kwa taharifa yako kama ujui, yule muasisi wa kuua upinzani alikufa yeye upinzani bado unadunda tu, Mipango ya Mungu si ya binadamu.

Believe me or not, ipo siku na saa isiyojulika CCM itafutika kwenye uso wa dunia.
 
Unajua siku za mwizi ni XL, hiyyo Lumumba na genge lake hawataendelea na wizi milele.Watanganyika ni wapole, lakini siyo wajinga Kama unavyozania. Watu hawana interest na kumchagua spika anayetokana na chama kilichoiba kura
 
sasa Simba alibebwaje jana pale....ningekuwa mimi refa ningetoa kadi nyekundu tatu na penalty mbili dhidi ya Mbeya city....

Watu wanacheza rafu hovyo hovyo na kujiangusha angusha masaa yote kupoteza muda....

Tukirudi kwenye siasa, CCM itaanguka tu siku siasa za upinzani zikiwa serious na kuwa na utayari wa kushika dola... CCM haitaanguka kwa bahati mbaya bali utaanguka kwa upinzani na watanzania kuwa na mipango madhubuti ya kuiondoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…