Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa.

Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani.

Michuano ilikua ya kagame na klabu za simba na yanga zilitolewa nusu fainali kwa hiyo zilikua zinagombania mshindi wa tatu wa michuano hiyo.

Ajabu bana! tumekaa vijana,watoto kwa wazee kusubiri gemu hii! haloo yanga walitukimbia ,hawakutokea kabisa nakumbuka ilikua mwka 2008 hivii.

Nanukuu maneno ya kapteni wa simba niko nyagawa" tunawaomba yanga watokee uwanjani wale tatu waondoke zao"
Siku hiyo Musonye yule Rais wa Maisha wa CECAFA akaporomosha matusi live. SIjui jamaa ni bado Rais wa CECAFA au?
 
Simba 5- 0 yanga. 2012
okwiiiii
2012 Simba penati 3 kwa Yanga penati 1 2023, bado ushindi haunogi kwenye highlights kama huu wa 05/05/2023 Simba SC 1-5 Yanga SC [emoji4]
JamiiForums-312072181.jpg
 
Na simba Mara 2 katika Miaka tofauti amewahi kukimbia na kutoendelea na mchezo kipindi cha pili dhidi ya Yanga akiwa tayari ameshafungwa.
 
Back
Top Bottom