City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Kama tatu kilikuwa kipigo cha fedheha sasa tano walizokula 5imba tarehe 5 tusemeje 😯Nanukuu maneno ya kapteni wa simba niko nyagawa" tunawaomba yanga watokee uwanjani wale tatu waondoke zao"
alikua anawahadaa ,aiseeh mngepoteanaKama tatu kilikuwa kipigo cha fedheha sasa tano walizokula 5imba tarehe 5 tusemeje 😯
Poa mkuu, michezo ni furaha lakini pindi mkutanapo, furaha mara nyingi ni ngumu ya kuwa pande zote.alikua anawahadaa ,aiseeh mngepoteana
Siku hiyo Musonye yule Rais wa Maisha wa CECAFA akaporomosha matusi live. SIjui jamaa ni bado Rais wa CECAFA au?Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa.
Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani.
Michuano ilikua ya kagame na klabu za simba na yanga zilitolewa nusu fainali kwa hiyo zilikua zinagombania mshindi wa tatu wa michuano hiyo.
Ajabu bana! tumekaa vijana,watoto kwa wazee kusubiri gemu hii! haloo yanga walitukimbia ,hawakutokea kabisa nakumbuka ilikua mwka 2008 hivii.
Nanukuu maneno ya kapteni wa simba niko nyagawa" tunawaomba yanga watokee uwanjani wale tatu waondoke zao"
2012 Simba penati 3 kwa Yanga penati 1 2023, bado ushindi haunogi kwenye highlights kama huu wa 05/05/2023 Simba SC 1-5 Yanga SC [emoji4]Simba 5- 0 yanga. 2012
okwiiiii
Na nyie hapa nyumbani?yanga uarabuni atasuluhu
Wakati Yanga inatowa dozi ya 5G mambumbumbu waliziita timu hizo ni dhaifu, sasa 5G imewahusu na wao je nao ni dhaifu?