matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa.
Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni.
Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu.
Kuna mambo ya maana mtu alikuwa hawezi kufanya kisha mzimu hauyaelewi au umemkataza.
Dini na wazungu wamesaidia sana sio tu Afrika bali dunia yote.
Ni hayo tu.
...
Niini maoni yako.