matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mwarabu hata kesho hana nia njema na mafanikio ya mtu mweusi.Kuna mwingine wa muislam ukifia uislam wakati wa ukoloni ndio ulileta maendeleo afrika wakati tunajua wakoloni wazungu ndio walileta maendeleo afrika
Maendeleo duni sana tukiwa wakweli. Tena wangesema watuache hadi sasa tungekuwa na gap ndogo sana na waadzabe wa maporini wanaokula matunda na kuvaa ngozi.Kabla ya hapo tulikuwa na aina yetu ya maendeleo , Yeye mzungu alichotubadili ni kufikiri ya kwao ndio maendeleo natuache ya kwetu.
Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa.
Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni.
Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu.
Kuna mambo ya maana mtu alikuwa hawezi kufanya kisha mzimu hauyaelewi au umemkataza.
Dini na wazungu wamesaidia sana sio tu Afrika bali dunia yote.
Ni hayo tu.
...
Niini maoni yako.
Umeandika ukweli MtupuUkiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa.
Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni.
Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu.
Kuna mambo ya maana mtu alikuwa hawezi kufanya kisha mzimu hauyaelewi au umemkataza.
Dini na wazungu wamesaidia sana sio tu Afrika bali dunia yote.
Ni hayo tu.
...
Niini maoni yako.
AminaaUmeandika ukweli Mtupu
wahzabe promax🤣🤣🤣Tungekuwa wahadzabr