Kama siyo mlemavu sikushauri utumie choo cha kukaa nyumbani kwako

Ushauri mzuri lakini hauna credibility yaani umejiita FUNDI UJENZI lakini ishauri uliotoa ni wa KIAFYA zaidi ulitakiwa utoke kwa professional doctor
 
Punguzeni uchafu majumbani mwenu tumieni vyoo vya kupumzika vya kukaa uchafu wenu unawafanya muone hivyo vyoo sio vizuri ila nimegundua hivyo vyoo vinataka watu wasafi kweli...
Kabisa, na Kama hakuna maji ya uhakika chimba shimo tu maana hata cha kuchuchumaa na kuflash kakikufai.
 
Nishashindwa choo cha kukaa nikikiona haja inakata labda kama nakimbiza mwenge
 
Kabisa, na Kama hakuna maji ya uhakika chimba shimo tu maana hata cha kuchuchumaa na kuflash kakikufai.
Na pia ukitumia choo cha India ambacho kinatumia maji kidogo kwenye ku flush na pia rangi hakibadiliki kwa muda mrefu sana choo kinakua kisafi muda wote...
 
Fundi ujenzi na umeme, akishauri masuala ya afya!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ushamba tu,ingekuwa hivyo wazungu,wanyarwada na jamii zingine wangeongoza kwa madhara hayo
Kwa ivobwanyaruanda mpaka bush wanakalia vyoo??

Alafu unachokipenda wewe nisipokipenda usiite ushamba kila mtu ana uhuru wake ☠☠☠
 
Hivi ukishamaliza kujisaidia kwa kutumia choo cha kukaa huwa mnatawazaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…