Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
2007 au natisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ilikua hatariilikuwaje
2083Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah hazijaniua zimenifanya tu kuwa sugu.
Ningekuwa Eva wako!Ningeishi milele
Ndio ukaona umrukie mbebe wangu upoze roho?🤣🤣🤣2021 hadi 2022 yule mpare kumbafu zake mxiiu 😏😏
Si nmeshakuachia jamani mbona hivyoooo😅😅😅Ndio ukaona umrukie mbebe wangu upoze roho?🤣🤣🤣
[emoji1787]asanteee2019.....
Ila imenifanya nimekuwa mtu mpya, nimeijua dunia Kwa uhalisia wa rangi zake.
Sasa hivi nimekuwa piga nikupigie, ukiweka ugoko naweka jiwe....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Potelea pweteee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asije kukufanyia jaribio lingine lakukuuaMwaka huu tarehe 1 mwezi wa saba alinitikisia kiberiti ila nilimuonyesha maamuzi magumu hadi akaanza kulia ye mwenyewe akasema sijawahi kukutana na mwanaume mwenye roho ngumu kama wewe , sahiv kaanza tena kunitafuta ila nimemkazia sitaki hata kumuona asije akanifanyia jaribio lingine la kuniua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Desemba mwaka huu nagonga miaka 77. Nilifikiri kwamba nimeshamalizana na hizi hekaheka za mapenzi. Aaaa wapi bwana. Kumbe ni kweli hayanaga mwongozo. Yaani nimekuja kubananishwa na kibinti cha Kisukuma kimatani matani tu hivi najiona kabisa na akili zangu kamili....
Ni siteresi 24/7 na sioni hata dalili za kujinasua yaani. Kweli hujafa hujaumbika wallahi!
Ila nitatoboa tu [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Mdogo angu,2023
kaka zangu tena jaman2021 hadi 2022 yule mpare kumbafu zake mxiiu [emoji57][emoji57]
Tumefikia makubaliano ya kuachana kwa amani sitaki nimuone tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asije kukufanyia jaribio lingine lakukuua