Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

lukoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,246
Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani.

Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini?

Je, kwanini vyombo vya habari kama ITV au TBC haviandai vipindi maalumu kuonyesha vifo na namna wanavyozika waliokufa kwa korona nchi kama Brazil na Elqurdo badala ya kutangaza namba tu na kutangaza Corona ipo chukua tahadhali?

Kama kweli taarifa za korona hazina umuhimu na hazihitajiki hapa nchini kwanini viongozi wetu wakuu kwa nyakati tofauti wiki iliyopita walipotoa taarifa ya kupungua kwa korona walitaja takwimu/namba?
 
Mkuu acha kujifanya muzungu

Africa haijaathirika na corona hata Who wamekiri hilo
... anauliza kama taarifa za Corona Tanzania sio za muhimu na hazitangazwi kwanini vyombo vyenu including TBC vinashadadia kutangaza taarifa za mataifa mengine? Kwanini serikali isivipige marufuku kufanya hivyo? Maana "Corona sio issue vinatangaza ujinga"! Hoja yake ni nzito sio nyepesi kama unavyofikiria.
 
Kumbuka media ni biashara

ILICHOFANYA SERIKALI NI KUWATOA HOFU WANANCHI ILA MKUMBUKE NA KUISHI KWA KUCHUKUA TAHADHARI, MAANA LAZIMA MAISHA
YAENDELEE
MNGEWEZA KUKAA LOCKDOWN MIEZI 6 NYIEEEE
AU MWAKA...
KIUKWELI KWENYE HILI SERIKALI ILICHEZA KAMA PELE

OVA

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Af waktaja idad na kuonyesha vidio za mazishi we utanufaika na nin mkuu???
Hapa either ungeonyesha kwa namba gani taarifa hazina umuhimu au madhara yake. Sasa unauliza swali wakati post ni ya maswali?
 
ILICHOFANYA SERIKALI NI KUWATOA HOFU WANANCHI ILA MKUMBUKE NA KUISHI KWA KUCHUKUA TAHADHARI, MAANA LAZIMA MAISHA
YAENDELEE
MNGEWEZA KUKAA LOCKDOWN MIEZI 6 NYIEEEE
AU MWAKA...
KIUKWELI KWENYE HILI SERIKALI ILICHEZA KAMA PELE

OVA

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tunachukua tahadhali au umekubali tufe!
 
Hapa washaona hakuna maana yakutangaza idadi wala kuonyesha hzo vidio za mazishi unazotaka cz itakua ni kupeana tu hofu na taharuk ktk jamii cz just imagine leo eneo ulilopo wewe unackia kunawagonjwa 12 wa covid-19 wamefarik iv kwa hal y kawaida c utavurugka kabxa kiakiliii[emoji17]
 
Tuseme kwetu janga limepungua, lakini bado janga lipo katika mataifa mengine.

Kujua taarifa za mwenendo wa ugonjwa katika mataifa mengine, kutamfanya mtu ajue ni salama au si salama kiasi gani kwenda katika nchi fulani kama mtu atataka kusafiri kwenda huko.

Hata hapa kwetu mataifa mengine wasingejua kuwa ni salama laiti kama tusingetangaza.

Na kama mtu hana mpango wa kusafiri basi hiyo kwake itakuwa ni taarifa kama taarifa zingine.

Kwani wewe unaposikia nchi fulani kemetokea tetemeko ilhali katika nchi yako hakuna huwa unapata faida gani au hasara gani?

Mtazamo
 
Utajua
Mkuu acha kujifanya muzungu

Africa haijaathirika na corona hata Who wamekiri hilo
Utajuaje warioathirika wakati hakuna taarifa?
Unataka wfe watu wangapi ili useme Afrika kuna madhara ya corona?
 
Wewe umeshuhudia mgonjwa wa corona unaemfahamu?
Hebu acha kudeka kijinga
Utajua Utajuaje warioathirika wakati hakuna taarifa?
Unataka wfe watu wangapi ili useme Afrika kuna madhara ya corona?
 
ILICHOFANYA SERIKALI NI KUWATOA HOFU WANANCHI ILA MKUMBUKE NA KUISHI KWA KUCHUKUA TAHADHARI, MAANA LAZIMA MAISHA
YAENDELEE
MNGEWEZA KUKAA LOCKDOWN MIEZI 6 NYIEEEE
AU MWAKA...
KIUKWELI KWENYE HILI SERIKALI ILICHEZA KAMA PELE

OVA

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Lakini hata pia nchi zilizoamua kuwa na 'lockdown' hazikufanya hivyo for its own sake, bali ilikuwa ni 'response' kwa escalating number of cases and deaths. Hivyo, ni lazima tu'contextualise' situation.
 
Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani.

Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini?

Je, kwanini vyombo vya habari kama ITV au TBC haviandai vipindi maalumu kuonyesha vifo na namna wanavyozika waliokufa kwa korona nchi kama Brazil na Elqurdo badala ya kutangaza namba tu na kutangaza Corona ipo chukua tahadhali?

Kama kweli taarifa za korona hazina umuhimu na hazihitajiki hapa nchini kwanini viongozi wetu wakuu kwa nyakati tofauti wiki iliyopita walipotoa taarifa ya kupungua kwa korona walitaja takwimu/namba?

Kama hakuna maaabukizo mapya kuna haja gni ya kutangaza?
Zamani ukimwi ulivyoingia walitangaza baada ya kuona wananchi wameelewa ikabaki kukumbushwa tu ila idadi inabaki wizara ya afya.
Nauliza tukitangaza tutapewa zawadi?
 
Hili ni swali zuri saaaaana. Niliuliza juzi, inakuwaje tunatumia taarifa za wengine kuwazodoa halafu za kwetu tunaficha uvunguni?

Ki ukweli, Tanzania imeonyesha ubinafsi mkubwa kwenye suala hili.
 
Back
Top Bottom