Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.

Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.

Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.

Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.

Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.

Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.

Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
 
Inategemea ni nani wanayemtakia hivyo.

Kama wana nguvu sana na hawazuiliki--- jambo hili na kwa zama hizi za teknolojia litaendelea kushika kasi
 
Polepole anakudanganya mkuu ni tapeli
 
Inategemea ni nani wanayemtakia hivyo.

Kama wana nguvu sana na hawazuiliki--- jambo hili na kwa zama hizi za teknolojia litaendelea kushika kasi
Kwa nini hakuna option ya mabadiliko.
KUWA mtu mbaya anaweza KUWA mtu mwema na akabaki KUWA hai?

Leo Hadi wachungaji, naona TikTok wachungaji wanatakiana vifo wao KWA wao. Wanafurahia wenzao kuugua au kupatwa mabaya.
 
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.

Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.

Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.

Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.

Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.

Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.

Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
Okay.....kinachouma ni wanaocheka vifo ila wanaoleta/sababisha vifo hakuna shida.
 
Tatizo focus ya nchi inakuwa ni mauti.
Kuna haja ya kureset hizi mindset KWA wote wanaosababisha na wanaosababishiwa tuanze upya. Hii kitu ni mbaya sana.

Hata wayahudi walikuwa na siku yao mara moja KWA Mwaka ya kujitafakari na kugeuka. Yom ha Kippur
 
Hii sasa ndio pointi....ila wasababishi hawana cha kupoteza na hawana habari
 
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.

Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.

Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.

Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.

Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.

Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.

Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
Sasa watu tukitaka kusema tunapigwa virungu,sasa tufanye aje buda na hali ndo hii
 
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.

Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.

Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.

Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.

Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.

Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.

Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
Umeandika kwa hisia au uhalisia?
kwa nini watu wana furahi juu ya misiba ya hao wanaoitwa viongozi?

Uko kwenye uongozi, una ubinafsi, udini ukabila, upendeleo, ubaguzi, udharimu, ufisadi, mla rushwa.
Na bado unatakiwa usifiwe!!!
Ukikosoa,na kurekebisha, kutekwa, mateso na kifo ni haki yako ya msingi.
Kwamba majambazi haya yakifa ni lazima tusikitike kama taifa!!!,

Kama kweli Mungu yupo, na atuondolee hili shetani la kike.

Haki huinua taifa
Haki ni tunda la Amani
 
Kwa nini option ya kubadilika haipo.
Kazi ya Mungu ni kuokoa sio kuua. Kwa nini mauti ndio iwe option. Hii ni kama Hali ya kukata tamaa kabisa na uwezo wa Mwenyezi Mungu kubadilisha viumbe wake Hadi vife tu.
 
kama option ya kubadilika ipo basi ndani ya miaka 60, watu wangeweza kubadilika.
Unajua kwa nini IBRAHIM TRAORE ANAKUBALIKA NA WAAFRIKA WENGI?
 
Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.

Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.

Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.

Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.

Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.

Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.

Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
Wanze watawala else wakikaza fuvu kuna jambo litatokea na dalili zinaonekana
 
Kwa nini hakuna option ya mabadiliko.
KUWA mtu mbaya anaweza KUWA mtu mwema na akabaki KUWA hai?

Leo Hadi wachungaji, naona TikTok wachungaji wanatakiana vifo wao KWA wao. Wanafurahia wenzao kuugua au kupatwa mabaya.
Upendo uliokuwepo wakati wa Nyerere umekwisha kwa sababu hakuna wa kuupalilia.
 
Back
Top Bottom