matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Polepole anakudanganya mkuu ni tapeliTangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.
Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.
Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.
Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.
Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Kwa nini hakuna option ya mabadiliko.Inategemea ni nani wanayemtakia hivyo.
Kama wana nguvu sana na hawazuiliki--- jambo hili na kwa zama hizi za teknolojia litaendelea kushika kasi
Anaonekana kama amebadilika kama sio michezo ya deepstate kubrainwash Umma.Polepole anakudanganya mkuu ni tapeli
Okay.....kinachouma ni wanaocheka vifo ila wanaoleta/sababisha vifo hakuna shida.Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.
Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.
Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.
Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.
Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Tatizo focus ya nchi inakuwa ni mauti.Okay.....kinachouma ni wanaocheka vifo ila wanaoleta/sababisha vifo hakuna shida.
Hii sasa ndio pointi....ila wasababishi hawana cha kupoteza na hawana habariTatizo focus ya nchi inakuwa ni mauti.
Kuna haja ya kureset hizi mindset KWA wote wanaosababisha na wanaosababishiwa tuanze upya. Hii kitu ni mbaya sana.
Hata wayahudi walikuwa na siku yao mara moja KWA Mwaka ya kujitafakari na kugeuka. Yom ha Kippur
Sasa watu tukitaka kusema tunapigwa virungu,sasa tufanye aje buda na hali ndo hiiTangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.
Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.
Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.
Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.
Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Umeandika kwa hisia au uhalisia?Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.
Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.
Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.
Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.
Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Kwa nini option ya kubadilika haipo.Umeandika kwa hisia au uhalisia?
kwa nini watu wana furahi juu ya misiba ya hao wanaoitwa viongozi?
Uko kwenye uongozi, una ubinafsi, udini ukabila, upendeleo, ubaguzi, udharimu, ufisadi, mla rushwa.
Na bado unatakiwa usifiwe!!!
Ukikosoa,na kurekebisha, kutekwa, mateso na kifo ni haki yako ya msingi.
Kwamba majambazi haya yakifa ni lazima tusikitike kama taifa!!!,
Kama kweli Mungu yupo, na atuondolee hili shetani la kike.
Haki huinua taifa
Haki ni tunda la Amani
kama option ya kubadilika ipo basi ndani ya miaka 60, watu wangeweza kubadilika.Kwa nini option ya kubadilika haipo.
Kazi ya Mungu ni kuokoa sio kuua. Kwa nini mauti ndio iwe option. Hii ni kama Hali ya kukata tamaa kabisa na uwezo wa Mwenyezi Mungu kubadilisha viumbe wake Hadi vife tu.
Wanze watawala else wakikaza fuvu kuna jambo litatokea na dalili zinaonekanaTangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo.
Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu.
Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu vifo.
Nchi imekaa ikitarajia mtu flani maarufu afariki wakati wowote wakidai ni karma. Imefikia HATUA watu wamesahau Kifo ni tukio la kibailojia Sasa wanaona kama ni tukio la kisasi au malipo ya ubaya.
Hii inajenga taifa lililojaa mentality ya umauti badala ya Uzima.
Na ubaya wa Kifo ukikotajataja sana mazingira ya umauti yatatanda kwenye hilo eneo.
Ni wakati Sasa tuone watu wakitabirana Uzima, wakitabiriana watu wabaya kubadilika na KUWA wema.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Upendo uliokuwepo wakati wa Nyerere umekwisha kwa sababu hakuna wa kuupalilia.Kwa nini hakuna option ya mabadiliko.
KUWA mtu mbaya anaweza KUWA mtu mwema na akabaki KUWA hai?
Leo Hadi wachungaji, naona TikTok wachungaji wanatakiana vifo wao KWA wao. Wanafurahia wenzao kuugua au kupatwa mabaya.