Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

VIPI KATIBA YA PALE UFIPA INAFAA KUONGOZA NCHI?
 
Hapa ndio nimejifunza kwamba watanzania wanaweza kuwa wamoja iwapo watapata kiongozi mzuri.

Haitajalisha hata kama anatokea chama cha mbogamboga.
 
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa rais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa mbaya zaidi kama rais wetu akiwa na kiburi.

Tuna katiba ambayo imetamka wazi rais hawezi kushitakiwa kwa jinai yoyote akiwa madarakani. Sasa je kwa kutumia madaraka yake akifanya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa nini asishitakiwe?

Tumuombe Mungu rais wa sasa asiwe na kiburi, maana kama akiwa na kiburi, hata mtu akimtongoza binti yake tunaweza kusikia alitekwa na kufungwa jiwe zito kisha kutumbukizwa baharini. Na hakuna hatua zozote za kisheria dhidi yake zitachukuliwa.
Ni kweli kiburi ndio kilimwangamiza mtangulizi wa Samia.
 
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa rais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa mbaya zaidi kama rais wetu akiwa na kiburi.

Tuna katiba ambayo imetamka wazi rais hawezi kushitakiwa kwa jinai yoyote akiwa madarakani. Sasa je kwa kutumia madaraka yake akifanya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa nini asishitakiwe?

Tumuombe Mungu rais wa sasa asiwe na kiburi, maana kama akiwa na kiburi, hata mtu akimtongoza binti yake tunaweza kusikia alitekwa na kufungwa jiwe zituto kisha kutumbukizwa baharini. Na hakuna hatua zozote za kisheria dhidi yake zitachukuliwa.
Tulisha wazoea mnataka asiwe na kiburi ili muanze kumdhalau na kumtukana ovyo na kutaka afanye mnachokitaka nyie akifanye.makelele na majungu yenu hayana njia bado Kwa huyo mama.
 
Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa mbaya zaidi kama rais wetu akiwa na kiburi.

Tuna katiba ambayo imetamka wazi Rais hawezi kushitakiwa kwa jinai yoyote akiwa madarakani. Sasa je kwa kutumia madaraka yake akifanya ukiukwaji wa haki za binadamu kwa nini asishitakiwe?

Tumuombe Mungu Rais wa sasa asiwe na kiburi, maana kama akiwa na kiburi, hata mtu akimtongoza binti yake tunaweza kusikia alitekwa na kufungwa jiwe zito kisha kutumbukizwa baharini. Na hakuna hatua zozote za kisheria dhidi yake zitachukuliwa.
Hakika
 
Back
Top Bottom