Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

VIPI KATIBA YA PALE UFIPA INAFAA KUONGOZA NCHI?
 
Hapa ndio nimejifunza kwamba watanzania wanaweza kuwa wamoja iwapo watapata kiongozi mzuri.

Haitajalisha hata kama anatokea chama cha mbogamboga.
 
Ni kweli kiburi ndio kilimwangamiza mtangulizi wa Samia.
 
Tulisha wazoea mnataka asiwe na kiburi ili muanze kumdhalau na kumtukana ovyo na kutaka afanye mnachokitaka nyie akifanye.makelele na majungu yenu hayana njia bado Kwa huyo mama.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…