We beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.
Kwani umekatazwa kwenda kuchanja bwashee?
Unachelewa kuipata hiyo chanjo kimbia peke yako usitushawishi ujinga!Umesoma mada au umekurupuka kwa sababu mtu fulani kaguswa?
Hivi wewe ulishapokea chanjo yoyote maishani mwako?
Sawa muuza barakoa tumekuelewa
We beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.
Msamehe bure hawa ndo bado wanaendeshwa akili na wazungu.
Huna akili kabisa wewe,inawezekana hata siyo mtanzaniaWe beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.
Hatumii akili za kawaidaUmesoma mada au umekurupuka kwa sababu mtu fulani kaguswa?
Hivi wewe ulishapokea chanjo yoyote maishani mwako?
FoolishMsamehe bure hawa ndo bado wanaendeshwa akili na wazungu.
Wanathamini madege kuliko raia tena walipa kodi,sijui hayo madege watapanda kina naniMaoni yenu msitake kutujumuisha na wengine.
Lengo lenu ni kutaka kukwepa wajibu wenu wa serikali wa kununua chanjo kwa ajili ya maisha ya watu ili tu kununua madege kwa cash?
Si mseme tu kuwa hela za kodi ambazo aghalabu hamlipi mnazitumia ndivyo sivyo na sasa hivi sasa ndiyo tuko hapa?
Akili zako ni ndogo kama za chawaUnachelewa kuipata hiyo chanjo kimbia peke yako usitushawishi ujinga!
Km chanjo wanayo mbona bado wanaisha wewe ni Nani ukapone?
Kaz tunayo kumne tuna watu wapuuzi kias hikiUnachelewa kuipata hiyo chanjo kimbia peke yako usitushawishi ujinga!
Km chanjo wanayo mbona bado wanaisha wewe ni Nani ukapone?
Wewe jomba sijajua unalilia nini na uzi wako huu...Nani amekukataza kwenda kujidunga hizo dawa...umekatazwa...? Kila mtu ana maamuzi yake hujafungwa na lolote .fanya maamuzi sahihi yanayokufaa ..sisi wengine tupo na Rais wetu bega kwa bega mpk kielewekeMabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko.
Rais wetu kutaka kutuaminisha kuwa chanjo ya corona inaweza kuwa na walakini kwa kuwa tu imetengenezwa na anaowaita mabeberu ni jambo lisilokubalika.
Kwani ni chanjo ipi au dawa ipi ambayo haitengenezwi na mabeberu? Kama ana mashaka hayo kwanini hajawahi kusema lolote kwenye chanjo za polio, Pepo punda, ndugu nk?
Ieleweke kuwa kutofautiana kwa mawazo ni jambo la kheri wala si uhaini.
"Kama watoto mapacha hufikia hatua ya kutokuelewana. Sembuse mimi na wewe Neema?"
Sisi: mmoja mmoja na kwa jumuiya mbali mbali zikiwamo wana harakati, madhehebu za dini, wasomi, na jumuiya mbali mbali kwa roho safi ni muda sasa wa kumhitaji mheshimiwa huyu kubadili uelekeo.
Kwa hakika, kuunyamazia uelekeo huu ni kuyaweka maisha yetu wenyewe hatarini pasipo na uhalali wowote.
Ninawasilisha.