mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Mimi nina Kinga ya ASILI.
Siwezi kusumbuliwa na mafua.na sikumbuki nimeumwa lini ugonjwa wowote ule.
Kwa Hilo namshukuru MUNGU
Siwezi kusumbuliwa na mafua.na sikumbuki nimeumwa lini ugonjwa wowote ule.
Kwa Hilo namshukuru MUNGU
Barakoa siuzi ila navaa tena ya kanga. Napenda kuendelea kuishi.
Vaa barakoa jombi, jitahidi angalau 1.5m kwenye kadamnasi, bila kusahau maji tiririka na sabuni ya mche japo ile ya kufulia.
Inshallah hautajuta kwa jitihada hizo.
Usisahau kwingine wananunua chanjo. Kwetu wasiolipa hata kodi wananunua midege.