Kama Taifa, viongozi wetu wasituchukulie sisi kama watoto wadogo

Hakuna haja ya kuongelea chanjo,maana hata baadhi ya nchi za ulaya wameanza kuzikataa. Zinafanya damu kuganda

Anayetaka kuchanjwa na achanjwe.

Kwanini mnataka kulazimisha tusichanjwe kwa sababu tu ninyi hamtaki?

Nyie mnaona sawa ku impose wills zenu kwa maisha ya wengine?

Oneni japo aibu basi?
 
Chanjwa sijakataa. Hata kama simpendi Magu lakin Kuna mambo mengi kwenye chanjo
 
Magu na chanjo wapi na wapi?

Mpende sana Magu. Penda mawazo yake. Penda unachopenda, ila tusilazinishane.

Wewe huoni umuhimu wa chanjo hiyo juu yenu. Tafadhali mahaba niue yenu yasiwe msiba kwa wengine.

Au vipi jombi?
 
Wewe punguza ujinga, fatilia nini kinatokea kwenye chanjo duniani
We kama unataka kuchanja kachanjwe. Wazungu wenyewe wamezigomea sasaiv huko Spain, Ufaransa na Italy. Kudevelop chanjo yoyote duniani huchukua miaka 5. We umeona wapi chanjo ya ndani ya Mwaka mmoja? Stupid sod
 
Nyani kuona kundule ni hadi anunue kioo. Hapo si shughuli pevu?

Mjinga ni wewe jombi.

Kote duniani chanjo zilizopo haziwatoshelezi katika nchi zenyewe.

Fuatilia ujue kwa hali hiyo raia wa nchi moja hawezi kupatiwa chanjo kwa hisani katika nchi nyingine hata kama angeombewa na jiwe.

By the way you seem to be a graduate in stupidity from a stupid unrecognizable institution.

Poor you!
 
Napoteza muda na mjinga hapa, Ni kama wana CCM walivyokuwa wanaambiwa Mungu wao amekufa wanakataa. Pole
 
Kama ujinga ni kuhitaji kuchanjwa kama utashi wa mtu binafsi usiopaswa kushurutishwa na mwerevu wewe asiyetaka chanjo na mwenye kudai ni vita vya kiuchumi?

No wonder jiwe is dead today for listening to ignorant fools like you!

Kwamba unadhani yupo mtu yeyote mwenye kutambua umuhimu wa chanjo hii na udharura wake aliye na muda kubishana na wewe au nduguzo hawa?

IMG_20210218_174254_207.jpg

Kadanganyabeni Lumumba mnapokuwa mnasubiria buku 7.
 
View attachment 1728793

Kadanganyabeni Lumumba mnapokuwa mnasubiria buku 7.
A fool. Nimekupuuza kama Jussa alivyompuuza Amoni.
 
Wewe punguza ujinga, fatilia nini kinatokea kwenye chanjo duniani
We kama unataka kuchanja kachanjwe. Wazungu wenyewe wamezigomea sasaiv huko Spain, Ufaransa na Italy. Kudevelop chanjo yoyote duniani huchukua miaka 5. We umeona wapi chanjo ya ndani ya Mwaka mmoja? Stupid sod
Kaka usitukane, Jielimishe kwanza. Kugomea chanjo pale Ulaya si shauri la chanjo hiyo na upatikanaji wake kwa muda mfupi. "No-Vaccers"ni kitu kingine kilichoanza mapema. Unaweza kusoma hapa Vaccine hesitancy.

Tangu kupatikana kwa intaneti na mahala kama hapa kila mtu mwenye hoja anasikilizwa na watu wengi, hivyo ujinga unaenea haraka zaidi duniani na kufikia watu wengi zaidi kuliko zamani.
 
Nimemwona Samia tanga bila barakoa wala social distancing.

Ni muhimu sana kuanza mwanzo mpya.

Shughuli ya mazishi nayo unaweza kuwa msiba mwingine.

Sasa hilo ndio tatizo yan mkuu mbona heaabu rahis sana the disease went out of control kwa masuper powers sisi tukileta kibur itasaidia kweli ? au zile Ak 47 zilikuwa zinamzuzua sababu the dude a backup of hell of security...
 
Back
Top Bottom