mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Barakoa siuzi ila navaa tena ya kanga. Napenda kuendelea kuishi.
Vaa barakoa jombi, jitahidi angalau 1.5m kwenye kadamnasi, bila kusahau maji tiririka na sabuni ya mche japo ile ya kufulia.
Inshallah hautajuta kwa jitihada hizo.
Usisahau kwingine wananunua chanjo. Kwetu wasiolipa hata kodi wananunua midege.
Hizo chanjo mbona zimejazana ulaya lakini vifo ni Kama kawaida Tena vimezidi maradufu...tuambie sababu usitupelekepeleke tuMaoni yenu msitake kutujumuisha na wengine.
Lengo lenu ni kutaka kukwepa wajibu wenu wa serikali wa kununua chanjo kwa ajili ya maisha ya watu ili tu kununua madege kwa cash?
Si mseme tu kuwa hela za kodi ambazo aghalabu hamlipi mnazitumia ndivyo sivyo na sasa hivi sasa ndiyo tuko hapa?
This is the best time to prove that we can't exist on our own as a society we need leaders. At trying times like this it's when we sit back and review our values and process of selecting and vetting our leadership process. The best we can do is learn.Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko...
Magufuli ni mtu aliyeshindwa kazi ya kuwalinda wananchi wa Tanzania dhidi ya Covid-19.Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko....
Wewe jomba sijajua unalilia nini na uzi wako huu...Nani amekukataza kwenda kujidunga hizo dawa...umekatazwa...? Kila mtu ana maamuzi yake hujafungwa na lolote .fanya maamuzi sahihi yanayokufaa ..sisi wengine tupo na Rais wetu bega kwa bega mpk kieleweke
Mimi nina Kinga ya ASILI.
Siwezi kusumbuliwa na mafua.na sikumbuki nimeumwa lini ugonjwa wowote ule.
Kwa Hilo namshukuru MUNGU
Jamaa kateka hadi wale wasio wafuasi wake nao wanaamini hakuna corona japo hawamkubali Magufuli ila kwenye corona wanamuunga mkono.Huyu mjinga mkuu kabisa naona kawateka sana mawazo wafuasi wake.
Huyu mbona tushamzoea ni siasa tu na tegemea sana threads zake mfulululizo maana kipindi kile cha uchaguzi alisimamisha hizi thread zake hakutaka kuongelea corona alikuwa busy na nyomi la Lissu,sasa uchaguzi umeisha naona kaamua kurudi tena kwenye nyuzi za corona.Wewe jomba sijajua unalilia nini na uzi wako huu...Nani amekukataza kwenda kujidunga hizo dawa...umekatazwa...? Kila mtu ana maamuzi yake hujafungwa na lolote .fanya maamuzi sahihi yanayokufaa ..sisi wengine tupo na Rais wetu bega kwa bega mpk kieleweke
Msamehe bure hawa ndo bado wanaendeshwa akili na wazungu.
Kama watu ambao ndio walikuwa wanapigia kelele hayo mambo ya Magufuli katika suala la Corona ndio hao hao wakati wa uchaguzi nao wakaungana na Magufuli halafu sasa hivi baada ya uchaguzi kuisha ndio wanarudia kumsema Magufuli,wakati mwengine wananchi nao huwa ni sehemu ya Tatizo.Magufuli ni mtu aliyeshindwa kazi ya kuwalinda wananchi wa Tanzania dhidi ya Covid-19...
..dawa zimetengenezwa India lakini tunawalaumu Wazungu.
NdioKwani umekatazwa kwenda kuchanja bwashee?
Kwani wewe kinachokishinda kujikinga na familia yako ni ipi au mpaka uambiwe na serikali weww kama unaona hiyo chanjo itakusaidia nenda kapigwe chanjo kama unaona ukivaa barakoa au kunawa na sanitizer sawa fanya hivyo usipe kelele humu haitakusaidia kila mtu anaishi kivyake mzee hata nikifa na corona mm haikusaidii ila familia yangu ndio itaumia illa ningekuona unaakili ungesema tusimame kwq siku tufabge kuomba kwa mungu ningekuona una akili maana unavyoshapalia kuhusu corona ni hope less nchi za africa haziwezi kupambana na corona mbwa wewe ila ni kuomba mungu tu bhasi