Wananchi wakiwa ni sehemu ya tatizo, kiongizi anatakiwa kuwaongiza vizuri.Kama watu ambao ndio walikuwa wanapigia kelele hayo mambo ya Magufuli katika suala la Corona ndio hao hao wakati wa uchaguzi nao wakaungana na Magufuli halafu sasa hivi baada ya uchaguzi kuisha ndio wanarudia kumsema Magufuli,wakati mwengine wananchi nao huwa ni sehemu ya Tatizo.
brazaj, you do not deserve to a Tanzanian with such personal hatred oriented thread It is better you quit to your favarable destination and secure teh vaccination you eagerly long for. We fed up with skeptical and pseudo opinions that are entirely clouded with stereotype political advancement irrelevant to the safety, healthy guaranteed and citizens progress.
The adversaries of the country are have inadvertently decided to use you as mouth piece promoting the haters their biological lethal weapons targetting to eliminate the theird world habitants.
You are doomed by dancing teh tune of the serpent...................
Kiongozi ameshajulikana toka zamani kuwa ana matatizo, sasa sisi baada ya kulijua hilo ndio kwanza tunazidi kuongeza matatizo,kaanza kusema hakuna corona watu wakashangaa na kumkosoa kama wanavyofanya sasa hivi ila baadaye nao wakaungana nae na yeye baad ya kuliona hilo sasa anazidi kwenda mbele zaidi. Itakuwa ni kazi bure kama tukiwa humu mitandaoni tunamkosoa kiongozi yetu ila tukiingia huko mitaani tunaungana nae katika yaleyale tunayomkosoa mitandaoni.Wananchi wakiwa ni sehemu ya tatizo, kiongizi anatakiwa kuwaongiza vizuri.
Sasa kwetu mpaka kiongozi tatizo.
Jomba kwa nn usijitolee kwanza ukapate hiyo chanjo then uje tukudunge na covid tukutest tuone kwanza matokeo kabla ya sisi wengine kuanza kuitumia..usitake miili yetu ikawa ndio testing bodies..koma kabisa
Mkuu vipi hali za barabara zetu huko KageraMabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu...
Mkuu vipi hali za barabara zetu huko Kagera
We beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.
We beba familia yako ukaipate hiyo chanjo tuone km hujarudi na mtindio wa akili.
Kiongozi ana matatizo vipi wakati anawaambia watu waombe Mungu atawasaidia waishinde Corona?Kiongozi ameshajulikana toka zamani kuwa ana matatizo, sasa sisi baada ya kulijua hilo ndio kwanza tunazidi kuongeza matatizo,kaanza kusema hakuna corona watu wakashangaa na kumkosoa kama wanavyofanya sasa hivi ila baadaye nao wakaungana nae na yeye baad ya kuliona hilo sasa anazidi kwenda mbele zaidi. Itakuwa ni kazi bure kama tukiwa humu mitandaoni tunamkosoa kiongozi yetu ila tukiingia huko mitaani tunaungana nae katika yaleyale tunayomkosoa mitandaoni.
Kwa hiyo mnalilia chanjo??[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko....
Kwa hiyo mnalilia chanjo??[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Chanjo zenyewe hizi???View attachment 1687839
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kuomba Mungu sio kwenye corona tu hata kwenye maradhi mengine watu huwa wanamuomba Mungu,lakini pia hata kwenye majukumu yetu ya kila siku pia huwa watu wanamuomba Mungu ndio maana hata viapo vya hao viongozi mwisho humalizia kwa kuomba Mungu awasaidie. Hivyo hakuna cha ajabu kumuomba Mungu katika maradhi ya corona.Kiongozi ana matatizo vipi wakati anawaambia watu waombe Mungu atawasaidia waishinde Corona?
Wewe humuamini Mungu?
Kwani umekatazwa kwenda kuchanja bwashee?
Kuchanjwa tu kungali mwacha jemedali wetu salama.
Kweri kibri si maungwana!
Kuchanjwa tu kungali mwacha jemedali wetu salama.
Kweri kibri si maungwana!
Hii ndio hasara ya mfumo unaompa Rais madaraka yote kiasi cha kudai: hashauriwi, hajaribiwi, hapangiwi. Ameishia kujidhuru mwenyewe kwa maamuzi mabovu kuhusu corona. Hakukuwa na wa kumdhibiti/kumzuia asitumbukie shimoni.
Bahati mbaya sana hakupata second chance kama Boris Johnson wa UK. CCM walipe kipaumbele suala la katiba mpya kama wanataka kulilinda taifa na majanga yasiyo na sababu huko mbeleni. Hata viongozi wetu wanaweza kuwa maadui wa taifa - wasipodhibitiwa.
Hakuna haja ya kuongelea chanjo,maana hata baadhi ya nchi za ulaya wameanza kuzikataa. Zinafanya damu kugandaMabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu.
Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa kamili ya kufanya au hata kusema lolote kwa kuwa tu eti dhamira yake itakuwa imemtuma huko.
Rais wetu kutaka kutuaminisha kuwa chanjo ya corona inaweza kuwa na walakini kwa kuwa tu imetengenezwa na anaowaita mabeberu ni jambo lisilokubalika.
Kwani ni chanjo ipi au dawa ipi ambayo haitengenezwi na mabeberu? Kama ana mashaka hayo kwanini hajawahi kusema lolote kwenye chanjo za polio, Pepo punda, ndui, nk?
Ieleweke kuwa kutofautiana kwa mawazo ni jambo la kheri wala si uhaini.
"Kama watoto mapacha hufikia hatua ya kutokuelewana. Sembuse mimi na wewe Neema?"
Sisi: mmoja mmoja na kwa jumuiya mbali mbali zikiwamo wana harakati, madhehebu za dini, wasomi, nk kwa roho safi ni muda sasa wa kumhitaji mheshimiwa huyu kubadili uelekeo.
Kwa hakika, kuunyamazia uelekeo huu ni kuyaweka maisha yetu wenyewe hatarini pasipo na uhalali wowote.
Ninawasilisha.